KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

Amepetolewa kule KWA wanaandaliwa kunyongwa?

Mkuu wa gerezani hajatumbuliwa KWA makosa Yale? Maana yule ni mtu maarufu anatetewa Hadi na wazungu vipi wale masikini huko SI anaweza kuwanyonga kabisa kinyume na sheria maana hawana watetezi.
Wale kajamba nani wasio na umaarufu wowote ni wakutekwa, wakupotezwa, kupigwa risasi huku rais akisema kifo ni kifo tu. ......kama wanaotenda hivyo miti mibichi, na mikavu je?
 
Tangu mama aingie madarakani kwake kudhibiti upinzani sio kwa hoja za majukwaani Bali kubambikia kesi wapinzani wake na kuwatupa jela, alianza na mbowe 2022 Kisha lissu 2025

..hawezi kusimama yeye kama yeye.

..nadhani ndiye mgombea aliyekigharimu chama na serikali fedha nyingi kuliko wote.

..hauziki ndiyo maana kuna matumizi makubwa ya fedha, hila, na ukatili.
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Peleka ukuda mbali, yeye ndio kaagiza afanyiwe unyama, ila Lisu kaanika uhalifu huo hadharani ndio akaona isiwe tabu. Kama kweli ni mtenda haki tuone akamtoa mkuu wa hilo gereza kwa kumshusha cheo.
 
Samia ameumbuka baada ya ubaya wake aliomtendea lisu kuanikwa hadharani ndo anajifanya kuagiza apewe haki kama mfungwa. Haya bainishen kosa lake nini bunge la ulaya liliwataka kumuachia huru mkasema hampangiwi nitawaona wa ajabu mkija na drama za kusema mnamwachia wakati mumeshamtesa bila kosa. Acheni ukatili.
 
Mbona kama unatoa
 
Peleka ukuda mbali, yeye ndio kaagiza afanyiwe unyama, ila Lisu kaanika uhalifu huo hadharani ndio akaona isiwe tabu. Kama kweli ni mtenda haki tuone akamtoa mkuu wa hilo gereza kwa kumshusha cheo.
Hawezi kuamua hiyo ni kazi ya vyombo vya dola
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Hatutaki haki za mtu ziamuliwe kwa utashi tunataka zifanywe kwa kufuata katiba na sheria zilizopo.
 
Chadema wanaweza kumpa sumu Lissu akiwa gerezani ili afe wachonganishe wananchi na Serekali kwahiyo naliagiza jeshi la magereza lisipokee chochote kutoka kwa Chadema kumpa Lissu.

Lissu ahudumiwe kila kitu na serekali muda wote akiwa Gerezani asubuhi apewe supu ya kuku, kikombe cha maziwa, mchana ugali samaki na matunda jioni pilau ya mbuzi hadi siku ya hukumu yake
mbona kama unatania mjuba?
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Huu ni mwanzo mzuri, matarajio yetu kama watanzania, sio tu wa mrengo wa upinzani, bali hata makada wa CCM, ni kuwa hata hii kesi ataimaliza kwa mustakabali mwema wa nchi yetu. Upinzani imara unafaida kwa CCM, serikali na nchi kwa ujumla. CCM haihitaji kucheza rafu kushinda uchaguzi.
 
Kuna siku mtu ataleta thread ya kushukuru rais kwa kumuwezesha KUNYA
 
Back
Top Bottom