KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

Yaani haki ya mfungwa ni mpaka Rais aingilie kati? Halafu unasifia kabisa yaani..
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Haki hupiganiwa

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
siyo hisani mwamba ni tishio anajua sheria na kudai haki zake ccm majinga lazma yamsikilize kisheria
 
Back
Top Bottom