KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE: Tundu Lissu apewa kila anachohitaji gerezani

Elewa kuwa wewe ni Mpumbavu na sio Mjinga. Raisi sio hakimu, alichokipigania Lisu ni haki zake zilizopo kisheria, Rais hagawi haki chawa wewe.
Nzi wa kijani hawezi kukuelewa.

Wao wamefundishwa kumsifu mfalme ata akiwa uchi. Kila kitu wamekaririshwa ni hisani ya Rais.
 
Sema huyu Lissu huwa hanaga unafiki... hata kama huwa anaropoka ila hafuati mkumbo. Alivyolipwa hela zake alitamka hadharani kalipwa. Hana siasa za kipumbavu kama kina Heche, Lema na wajinga wengine wa CHADEMA ambao wao kila kitu ni lawama tu.
 
Atekeleze na madai ya Wananchi kupitia Chadema/Lissu kuhusu marekebisho ya kasoro za uchaguzi.
 
Majina huonesha uhalisia,kiboko ya wajinga.Maana ukitaka kuwamudu wajinga lazima uwazidi UJINGA.
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"

..kumbambikia kesi ya uhaini ni uhuni.

..Samia hawezi kushindana na Lissu kwa hoja ameamua kumtumia mahakama kumdhibiti.
 
Tangu mama aingie madarakani kwake kudhibiti upinzani sio kwa hoja za majukwaani Bali kubambikia kesi wapinzani wake na kuwatupa jela, alianza na mbowe 2022 Kisha lissu 2025
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
NILIDHANI ATASEMA ANASUBIRI KATIBA IBADILISHWE KWANZA NDIO AWE TAYARI KUPOKEA HIZO HUDUMA.
 
hata nje ya mahabusu maisha yake si ya kuungaunga tu gentleman?
unadhani anaweza kuishi bila kuomba kuchangiwa pesa?
 
Chadema wanaweza kumpa sumu Lissu akiwa gerezani ili afe wachonganishe wananchi na Serekali kwahiyo naliagiza jeshi la magereza lisipokee chochote kutoka kwa Chadema kumpa Lissu.

Lissu ahudumiwe kila kitu na serekali muda wote akiwa Gerezani asubuhi apewe supu ya kuku, kikombe cha maziwa, mchana ugali samaki na matunda jioni pilau ya mbuzi hadi siku ya hukumu yake
Mtoto mjinga sana wewe
 
hata nje ya mahabusu maisha yake si ya kuungaunga tu gentleman?
unadhani anaweza kuishi bila kuomba kuchangiwa pesa?
Mbona hata wewe na masokwe menzako unayoyaita baba na mama mnaishi kwa kuungaunga kuke mbugani mikumi kwa kurushiwa ndizi na abiria
 
View attachment 3382149

Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.

Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.

Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.

Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.

"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"

Mwisho wa kunukuu,

Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Kwahiyo matatizo myatengeneze wenyewe mseme yeye ndio mpigania haki?
Sasa amemnyimaje na unaona baada ya kusema kachukua hatua.
Kwahiyo bila ya kusema lissu kama ananyanyaswa angebakia hivyo hivyo?
 
Unhetafuta tu mada nyingine hata ya kilimo cha miwani kuliko kulazimisha mambo hapa
 
Mbona hakupewa hizo haki kabla ya Rais kusikia manyanyaso yake?
Yeye ndio sheria? . Wallah siku ccm ikitoka hapo ilipo mjipange sana. Najua utasema haitoki madarakani ila jua hilo mnalolitegemea la vyombo vya dola ipo siku Mungu atawapiga upofu na hawatakuwa na nguvu na ccm ndio inapoingia.
 
Back
Top Bottom