Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Nzi wa kijani hawezi kukuelewa.Elewa kuwa wewe ni Mpumbavu na sio Mjinga. Raisi sio hakimu, alichokipigania Lisu ni haki zake zilizopo kisheria, Rais hagawi haki chawa wewe.
HakujuaHaahaa huyo Samia alikuwa wapi muda wote huo?
View attachment 3382149
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.
Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.
Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.
Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.
"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"
Mwisho wa kunukuu,
Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Huo ni mfupa mgumu kwa mama...Atekeleze na madai ya Wananchi kupitia Chadema/Lissu kuhusu marekebisho ya kasoro za uchaguzi.
Tangu mama aingie madarakani kwake kudhibiti upinzani sio kwa hoja za majukwaani Bali kubambikia kesi wapinzani wake na kuwatupa jela, alianza na mbowe 2022 Kisha lissu 2025..kumbambikia kesi ya uhaini ni uhuni.
..Samia hawezi kushindana na Lissu kwa hoja ameamua kumtumia mahakama kumdhibiti.
NILIDHANI ATASEMA ANASUBIRI KATIBA IBADILISHWE KWANZA NDIO AWE TAYARI KUPOKEA HIZO HUDUMA.View attachment 3382149
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.
Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.
Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.
Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.
"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"
Mwisho wa kunukuu,
Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
hata nje ya mahabusu maisha yake si ya kuungaunga tu gentleman?View attachment 3382149

Mtoto mjinga sana weweChadema wanaweza kumpa sumu Lissu akiwa gerezani ili afe wachonganishe wananchi na Serekali kwahiyo naliagiza jeshi la magereza lisipokee chochote kutoka kwa Chadema kumpa Lissu.
Lissu ahudumiwe kila kitu na serekali muda wote akiwa Gerezani asubuhi apewe supu ya kuku, kikombe cha maziwa, mchana ugali samaki na matunda jioni pilau ya mbuzi hadi siku ya hukumu yake
Mbona hata wewe na masokwe menzako unayoyaita baba na mama mnaishi kwa kuungaunga kuke mbugani mikumi kwa kurushiwa ndizi na abiriahata nje ya mahabusu maisha yake si ya kuungaunga tu gentleman?
unadhani anaweza kuishi bila kuomba kuchangiwa pesa?
Kwahiyo matatizo myatengeneze wenyewe mseme yeye ndio mpigania haki?View attachment 3382149
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.
Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.
Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.
Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.
"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"
Mwisho wa kunukuu,
Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Kwahiyo bila ya kusema lissu kama ananyanyaswa angebakia hivyo hivyo?Sasa amemnyimaje na unaona baada ya kusema kachukua hatua.
relax gentleman,Mbona hata wewe na masokwe menzako unayoyaita baba na mama mnaishi kwa kuungaunga kuke mbugani mikumi kwa kurushiwa ndizi na abiria
Yeye ndio sheria? . Wallah siku ccm ikitoka hapo ilipo mjipange sana. Najua utasema haitoki madarakani ila jua hilo mnalolitegemea la vyombo vya dola ipo siku Mungu atawapiga upofu na hawatakuwa na nguvu na ccm ndio inapoingia.Mbona hakupewa hizo haki kabla ya Rais kusikia manyanyaso yake?