Wale kajamba nani wasio na umaarufu wowote ni wakutekwa, wakupotezwa, kupigwa risasi huku rais akisema kifo ni kifo tu. ......kama wanaotenda hivyo miti mibichi, na mikavu je?Amepetolewa kule KWA wanaandaliwa kunyongwa?
Mkuu wa gerezani hajatumbuliwa KWA makosa Yale? Maana yule ni mtu maarufu anatetewa Hadi na wazungu vipi wale masikini huko SI anaweza kuwanyonga kabisa kinyume na sheria maana hawana watetezi.
Tangu mama aingie madarakani kwake kudhibiti upinzani sio kwa hoja za majukwaani Bali kubambikia kesi wapinzani wake na kuwatupa jela, alianza na mbowe 2022 Kisha lissu 2025
Peleka ukuda mbali, yeye ndio kaagiza afanyiwe unyama, ila Lisu kaanika uhalifu huo hadharani ndio akaona isiwe tabu. Kama kweli ni mtenda haki tuone akamtoa mkuu wa hilo gereza kwa kumshusha cheo.View attachment 3382149
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.
Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.
Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.
Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.
"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"
Mwisho wa kunukuu,
Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Elewa vizuri kilichoambiwaKumbe aliyekuwa ana mnyima haki zake ni Rais?
Wanashinda mechi semiSielewi Simba wamepanga wapataje Goli
Mbona kama unatoaSamia ameumbuka baada ya ubaya wake aliomtendea lisu kuanikwa hadharani ndo anajifanya kuagiza apewe haki kama mfungwa. Haya bainishen kosa lake nini bunge la ulaya liliwataka kumuachia huru mkasema hampangiwi nitawaona wa ajabu mkija na drama za kusema mnamwachia wakati mumeshamtesa bila kosa. Acheni ukatili.
SijakuelewaMbona kama unatoa
Hawezi kuamua hiyo ni kazi ya vyombo vya dolaPeleka ukuda mbali, yeye ndio kaagiza afanyiwe unyama, ila Lisu kaanika uhalifu huo hadharani ndio akaona isiwe tabu. Kama kweli ni mtenda haki tuone akamtoa mkuu wa hilo gereza kwa kumshusha cheo.
Kazi ya vyombo vya dola inafuata atakacho rais hasa kwa mahasimu wake wa kisiasa.Hawezi kuamua hiyo ni kazi ya vyombo vya dola
Hapana, anaweza kufanya mwingine ila sio Rais SamiaKazi ya vyombo vya dola inafuata atakacho rais hasa kwa mahasimu wake wa kisiasa.
Soma ueleweKumbe aliyekuwa ana mnyima haki zake ni Rais?
Hatutaki haki za mtu ziamuliwe kwa utashi tunataka zifanywe kwa kufuata katiba na sheria zilizopo.View attachment 3382149
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.
Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.
Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.
Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.
"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"
Mwisho wa kunukuu,
Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Uenda ikawaKwahiyo magereza anasimamia Rais?
mbona kama unatania mjuba?Chadema wanaweza kumpa sumu Lissu akiwa gerezani ili afe wachonganishe wananchi na Serekali kwahiyo naliagiza jeshi la magereza lisipokee chochote kutoka kwa Chadema kumpa Lissu.
Lissu ahudumiwe kila kitu na serekali muda wote akiwa Gerezani asubuhi apewe supu ya kuku, kikombe cha maziwa, mchana ugali samaki na matunda jioni pilau ya mbuzi hadi siku ya hukumu yake
Huu ni mwanzo mzuri, matarajio yetu kama watanzania, sio tu wa mrengo wa upinzani, bali hata makada wa CCM, ni kuwa hata hii kesi ataimaliza kwa mustakabali mwema wa nchi yetu. Upinzani imara unafaida kwa CCM, serikali na nchi kwa ujumla. CCM haihitaji kucheza rafu kushinda uchaguzi.View attachment 3382149
Kuna wakati baadhi ya Watanzania hasa wenye mrengo wa Upinzani walishindwa kumwelewa Rais Samia hasa aliposema yeye ni mtu safi na ni mtu anayemtegemea Mungu hivyo hawezi kufanya jambo lolote baya kwa mpinzani wake yeyote kwa namna yeyote.
Mtakumbuka mara baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu kulalamika kuwa akiwa gerezani kuna mambo anapitia yanamfanya ashindwe kupata haki zake kama mfungwa mahabusu.
Kauli hii ya Mhe Tundu Lissu imemfikia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na hayo ndio majibu yake Kwa Tundu Lissu akiwa gerezani kwani Kwa sasa amekiri yeye mwenyewe kuwa anapata kila haki iliyo yake kama mfungwa mahabusu.
Naomba kunukuu waraka wa Mhe Tundu Lissu akiwa gerezani.
"Baada ya kuzungumza Mahakamani juu ya ukiukwaji wa haki zangu kama mfungwa gerezani;
Sasa naweza kuonana na mawakili wangu na kuzungumza faragha,
Sasa naruhusiwa kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mpira kama wafungwa wengine na
Sasa naweza kupata huduma ya kiroho siku za ibada"
Mwisho wa kunukuu,
Hii ndio tafsiri rahisi ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alipokuja na kauli mbiu ya " KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE KWA PAMOJA"
Hata kuku hawana ubongo wa hovyo...abakie nao mwenyewe tuUbongo wako wewe ni bora angepewa kuku.