Kazini kwangu ninaowasimamia hawanisikilizi, naomba ushauri

Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.

Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini

Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.

Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.

Wana nguvu ya ziada wanayo tumia? Je una nguvu ya Mungu wa kweli ya kupambana nao?
 
Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.

Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini

Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.

Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Itisha kikao na panga tarehe ya hicho kikao,pia mada ya hicho kikao yaani kueleza majukumu Yako na wao majukumu Yao na mwisho,Hatua za kufanya pindi mtu atakayekiuka mlichokubaliana kwenye kikao.Kifanywe kwa maandishi na waliohudhuria wasaini Unokounoko!
 
Haya majamaa sijui kama wanaenda hata vikao
 
Nina wiki mbili toka niajiriwe katika kiwanda kimoja hapa mtwara. Mimi ni msimamizi wa vibarua wa wanaofanya usafi.

Changamoto iliyopo ni kua nikiwapa maelekezo kua usafi ufanyike katika maeneo yao wanaleta dharau, jeuri, kejeli. Wanataka niwe fea ila fea sidhan kama inafaa kazini

Majibu yao ni kua walikuepo hapa zaidi yako Leo wametimuliwa, hili jambo linanipa hofu na kutojiamini. Had hapa nishagombana na watu wawili ile tu kuwapa maelekezo wananimaindi.

Uongozi wa juu nao wananiambia nijitahidi kumalizana nao nisiwe naripoti ripot kila kitu. Nimekuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kuitatua hii kadhia. Nahisi kuchoka.
Wapige bomu kama lile alilopigwa Fatma Karume na vijana wa Magufuli
 
Unapofanya Kazi na MTU anayeamini yeye ataishia kuwa mfagiaji au msafi wa kiwanda usitegemee huyu MTU kujituma na kuwa na ufanisi eneo la Kazi.

Maisha huwa yanaleta maana Kwa kuamini Mimi hapa nilipo sijafika bado.

So jitahidi kuwa unakaa unawaambia hilo jambo kuwa wajitume na wafanye Kazi kwa ufanisi kwa huo unaweza kuwa mwanzo wao wa wao kufanikiwa zaidi

So ukiwa kiongozi /msamamizi unabidi pia kuwa motivation speaker

People are insecure about their life -so make sure you give them hope
Ko mimi nianze kuwafundisha na kuwapa matumaini? Mbona sio nilichopangiwa?
 
Back
Top Bottom