Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Hii ni kashfa kubwa sana kwa mheshimiwa mwenyekiti Baba V........ina maana anachezea kichapo?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kashfa kubwa sana kwa mheshimiwa mwenyekiti Baba V........ina maana anachezea kichapo?

ndio maana mwenyekiti sikuhizi amekonda kweli, kumbe anakondeshwa na mengi
daaaah...... Pole sana Mh. Mwenyekiti.

Copy: Baba V
 
Last edited by a moderator:
Slave tena hilo la kumharibia Mr Rocky ndilo litakalokufanya uwe mume wangu
ili mradi tu wakezo uwaweke sawa.

 
Last edited by a moderator:
Slave and Mr Rocky I need explanation hapo kwenye bold and Red
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…