Kelele nyiiingi ukiwa Chit Chat, kumbe Home ndio unafanywa hivi.......

Last edited by a moderator:
Yaani kwa vitisho hivi ndio mapenzi yangu kwake yameongezeka maradufu,jiandae kuachia ngazi tu kaka.Hapa huna chako...

Ungebahatika kukaa Arusha kwa siku moja tu wakati wa kampeni ukarushiwa hata bomu la machozi tu ungeondoka hata kwa miguu sembuse hayo makitu........Pan'chezeiya Arushaone na Mamndenyi weiye!!
 
Last edited by a moderator:
Hata Anold wa Hollywood alisema hivyohivyo kisha akatokomea mpaka leo hajarudi nina imani na wewe utatokomea hukohuko unakoelekea.....hahahahahahhah

Ile ya Schwarzenegger ni fiction na yangu ni reality mkuu.
 
Ungebahatika kukaa Arusha kwa siku moja tu wakati wa kampeni ukarushiwa hata bomu la machozi tu ungeondoka hata kwa miguu sembuse hayo makitu........Pan'chezeiya Arushaone na Mamndenyi weiye!!


Nimekwambia hapa hatutishani bana,1995 nilikuwa Arusha kipindi Ngunguri hajawa Ngunguri na alituchapa mabomu ya machozi mpaka tulikaribia kuwa vipofu,nilipojiunga na jeshi la Nato 1999 ndio cha moto nilikiona lakini bado sikutishika itakuwa hayo,mmeshamnyanyasa sana Mamndenyi wangu huu ni muda wake wa kutulia na mtakatifu sasa hivi...
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi mwenyewe sijui kajificha wapi.............hebu kuja huku watu wanataka kutoana macho kisa wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi anakujua wewe ni MTAKAVITU na siyo MTAKATIFU kama unavyotaka aamini.....Hadanganyiki!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…