princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Twende mbele turudi nyuma jamaniMwanangu hata ningekuwa ndiye kocha wa Simba ningeshauri hivyo! Timu haina Camarra, Che Fondo na Kapombe nani angezuia mtiti wa Pacomé, Aziz Ki, Ikangalombo, Mzize na Dube?
Point 3 lazima watoe na magoli matatu.
Mana timu ilipelekwa uwanjani walikua wanasubiriwa wao tu waahirishaji hio ni zaidi ya evidence
Ni kweli. Ile barua ya kuhairisha mechi imeharibu kila kitu. Kinachofanyika sasa ni kuubembeleza uongozi wa Yanga ukubali kucheza mechi nyingine itakayopangwa. Pia wanasubiri hasira na tension za watu zipungue ndio waseme kitu. Hutasikia kauli yoyote kwa sasa hadi wiki ipite. Jamaa wameshajuona wamekosea sasa wamechutama hadi Upepo upite huku wanambembeleza Hersi kwa kila namna.Hilo haliwezekani, wao ndio walitoa official statement ya kuahirisha mechi na Simba imeifuata hiyo. Hakuna marefa wala officials wengine waliofika uwanjani zaidi ya Uto, hapo unampa Yanga pointi 3 kwa kipi? Kwa Simba kusema 'No reform no Derby'? Huo uamuzi mnaohisi utatolewa ndio walifaa kuufata Simba tuliposema hatushiriki hii mechi wangeacha taratibu zote ziendelee kama kawaida, kwa kumuadhibu hivyo Simba manake nao wanastahili adhabu. Hii ngoma imekaa vibaya kwao.
Umesema sahihi mkuu. Huo ndio ukweli na hakuna point tatu pale. Wanachofanya ni kunyamaza ili upepo upate huku wanawaomba viongozi wa Yanga wakubali kurudia game.Utaratibu wa Timu kupewa pointi 3 baada ya timu nyingine kutofika uwanjani upoje? Maana:
1. Ilitakiwa Yanga wafike uwanjani muda wa mchezo husika.
2. Kuwe na viongozi wote wa mechi husika wakiwemo makamishina na refarii uwanjani ambaye atawaongoza waingie uwanjan muda ukifika.
3. Saa moja na robo refarii angepuliza kipyenga kuashiria kuanza kwa mchezo.
4. Refarii angesubiria timu nyingine iingie uwanjani kwa muda wa dakika 15.
5. Baada ya dakika 15 kutimia bila timu nyingine kuingia uwanjani, refarii angemaliza mechi na timu iliyokuwepo uwanjan ingepewa ushindi na alama 3.
Je! kwa jana hayo yote yalikamilika ili Yanga wapewe ushindi na alama 3 kama kichwa cha habari cha bandiko hili kinavyodai?
Sijajua mnafanya makusudi na kujitoa akili au lah.kanuni inasema timu pinzani itafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwe nye uwanja husika.mlikuwa hamjui hii kanuni?
mnataka mpewe taarifa ili mfiche nini!
Acha uwongo. Kanuni (namba 17(45) hii hapa chini;kanuni inasema timu pinzani itafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwe nye uwanja husika.mlikuwa hamjui hii kanuni?
mnataka mpewe taarifa ili mfiche nini!
Nachofaham mimi, hili jambo linaisha leo leo na panatulia! mechi itapangwa siku nyingine na itachezwa tu..Umesema sahihi mkuu. Huo ndio ukweli na hakuna point tatu pale. Wanachofanya ni kunyamaza ili upepo upate huku wanawaomba viongozi wa Yanga wakubali kurudia game.
Yanga nao.wesema hawatacheza imeisha hio! Na wakikubali kucheza wallah nakwambia hamna atakaeendaUmesema sahihi mkuu. Huo ndio ukweli na hakuna point tatu pale. Wanachofanya ni kunyamaza ili upepo upate huku wanawaomba viongozi wa Yanga wakubali kurudia game.
Nini maana ya neno " watani wa jadi"sasa yanga waliogopa nini kuwaacha simba wakafanye mazoezi?mnasema hamkupewa taarifa uwanja wenu ule?
weww unamkataza simba asiingie uwanjani wewe kama nani?
Sidhani kama watakurupuka kwa sasa kutolea tamko kwani watu wamejaa upepo.Nachofaham mimi, hili jambo linaisha leo leo na panatulia! mechi itapangwa siku nyingine na itachezwa tu..
Rejea ile mwaka 2021 May 8, Yanga waligoma kucheza baada ya mabadiliko ya muda wa mechi na Simba, na wakadai hawatacheza tena..
Lakini ilipotajwa tarehe nyingine walicheza.
Nisaidie haya;Utaratibu wa Timu kupewa pointi 3 baada ya timu nyingine kutofika uwanjani upoje? Maana:
1. Ilitakiwa Yanga wafike uwanjani muda wa mchezo husika.
2. Kuwe na viongozi wote wa mechi husika wakiwemo makamishina na refarii uwanjani ambaye atawaongoza waingie uwanjan muda ukifika.
3. Saa moja na robo refarii angepuliza kipyenga kuashiria kuanza kwa mchezo.
4. Refarii angesubiria timu nyingine iingie uwanjani kwa muda wa dakika 15.
5. Baada ya dakika 15 kutimia bila timu nyingine kuingia uwanjani, refarii angemaliza mechi na timu iliyokuwepo uwanjan ingepewa ushindi na alama 3.
Je! kwa jana hayo yote yalikamilika ili Yanga wapewe ushindi na alama 3 kama kichwa cha habari cha bandiko hili kinavyodai?
Kwenye uwanja wowote, timu mwenyeji ndo anakuwa mwenye uwanja kwa wakti huo..!!sasa yanga waliogopa nini kuwaacha simba wakafanye mazoezi?mnasema hamkupewa taarifa uwanja wenu ule?
weww unamkataza simba asiingie uwanjani wewe kama nani?
HAWA BODI N WASENGE MKUUUUUsilete matusi Yako hapa,
Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF.
Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv wanailaumu Bodi.
Ungeishitaki Simba kwani ndo wamehairisha mchezo?Ushirikina tu. Bongo tuko nyuma na tutazidi kuwa nyuma. Shame on you Simba Yanga Kwa kuamini ndumba na uganga. Mmewatia watanzania hasara za kifedha, mmewafanyia watz ukatili wa kisaikolojia, mmetudhalilisha watz kimataifa.
Ningekwa na Hela ningeshtki Simba Kwa urojo huu. Watu wamelipia we Kwa kuamini tu uchawi unaamua kutokucheza.
Visingizio kibao. Mi mwanasimba but tukifungwa mechi ijayo Wala sitaumia coz moyo wangu baada ya hili umeamua kukubaliana na chochochote.
Yanga hawashiki funguo jana wameingiaje uwanjani?Hawakutoa taarifa popote, waliibuka kama mzimu. Na Yanga hawashiki funguo za uwanja, na wao walipowasiliana na meneja wa uwanja ndio akawalima ban sio kiongozi wa Yanga.
Kuipakazia Yanga ni kichaka tu ili kosa wamtupie mwananchi.
Walimpa taarifa meneja wa uwanja???aliyeogopa ni yule aliyemkataza mwenzie asiingie uwanjani akakimbize majini