Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

Mwanangu hata ningekuwa ndiye kocha wa Simba ningeshauri hivyo! Timu haina Camarra, Che Fondo na Kapombe nani angezuia mtiti wa Pacomé, Aziz Ki, Ikangalombo, Mzize na Dube?
Twende mbele turudi nyuma jamani
Hata we kuweza😆😆😆😆 wamefanya uamuzi mgumu
 
Point 3 lazima watoe na magoli matatu.
Mana timu ilipelekwa uwanjani walikua wanasubiriwa wao tu waahirishaji hio ni zaidi ya evidence

Utaratibu wa Timu kupewa pointi 3 baada ya timu nyingine kutofika uwanjani upoje? Maana:

1. Ilitakiwa Yanga wafike uwanjani muda wa mchezo husika.

2. Kuwe na viongozi wote wa mechi husika wakiwemo makamishina na refarii uwanjani ambaye atawaongoza waingie uwanjan muda ukifika.

3. Saa moja na robo refarii angepuliza kipyenga kuashiria kuanza kwa mchezo.

4. Refarii angesubiria timu nyingine iingie uwanjani kwa muda wa dakika 15.

5. Baada ya dakika 15 kutimia bila timu nyingine kuingia uwanjani, refarii angemaliza mechi na timu iliyokuwepo uwanjan ingepewa ushindi na alama 3.

Je! kwa jana hayo yote yalikamilika ili Yanga wapewe ushindi na alama 3 kama kichwa cha habari cha bandiko hili kinavyodai?
 
Hilo haliwezekani, wao ndio walitoa official statement ya kuahirisha mechi na Simba imeifuata hiyo. Hakuna marefa wala officials wengine waliofika uwanjani zaidi ya Uto, hapo unampa Yanga pointi 3 kwa kipi? Kwa Simba kusema 'No reform no Derby'? Huo uamuzi mnaohisi utatolewa ndio walifaa kuufata Simba tuliposema hatushiriki hii mechi wangeacha taratibu zote ziendelee kama kawaida, kwa kumuadhibu hivyo Simba manake nao wanastahili adhabu. Hii ngoma imekaa vibaya kwao.
Ni kweli. Ile barua ya kuhairisha mechi imeharibu kila kitu. Kinachofanyika sasa ni kuubembeleza uongozi wa Yanga ukubali kucheza mechi nyingine itakayopangwa. Pia wanasubiri hasira na tension za watu zipungue ndio waseme kitu. Hutasikia kauli yoyote kwa sasa hadi wiki ipite. Jamaa wameshajuona wamekosea sasa wamechutama hadi Upepo upite huku wanambembeleza Hersi kwa kila namna.

Jamaa jana wamefanya bonge la mistake. Hakuna point 3 kwa Yanga kwani ile barua ilihairisha mechi.
 
Utaratibu wa Timu kupewa pointi 3 baada ya timu nyingine kutofika uwanjani upoje? Maana:

1. Ilitakiwa Yanga wafike uwanjani muda wa mchezo husika.

2. Kuwe na viongozi wote wa mechi husika wakiwemo makamishina na refarii uwanjani ambaye atawaongoza waingie uwanjan muda ukifika.

3. Saa moja na robo refarii angepuliza kipyenga kuashiria kuanza kwa mchezo.

4. Refarii angesubiria timu nyingine iingie uwanjani kwa muda wa dakika 15.

5. Baada ya dakika 15 kutimia bila timu nyingine kuingia uwanjani, refarii angemaliza mechi na timu iliyokuwepo uwanjan ingepewa ushindi na alama 3.

Je! kwa jana hayo yote yalikamilika ili Yanga wapewe ushindi na alama 3 kama kichwa cha habari cha bandiko hili kinavyodai?
Umesema sahihi mkuu. Huo ndio ukweli na hakuna point tatu pale. Wanachofanya ni kunyamaza ili upepo upate huku wanawaomba viongozi wa Yanga wakubali kurudia game.
 
kanuni inasema timu pinzani itafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwe nye uwanja husika.mlikuwa hamjui hii kanuni?
mnataka mpewe taarifa ili mfiche nini!
Sijajua mnafanya makusudi na kujitoa akili au lah.

Ni kweli kanuni inasema hivyo ila haisemi msusie game. 😀😀
 
kanuni inasema timu pinzani itafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi kwe nye uwanja husika.mlikuwa hamjui hii kanuni?
mnataka mpewe taarifa ili mfiche nini!
Acha uwongo. Kanuni (namba 17(45) hii hapa chini;

1741506948389.png

Haya, siku moja kabla ya mechi imetajwa wapi? Kama hujui bora uulize
 
Umesema sahihi mkuu. Huo ndio ukweli na hakuna point tatu pale. Wanachofanya ni kunyamaza ili upepo upate huku wanawaomba viongozi wa Yanga wakubali kurudia game.
Nachofaham mimi, hili jambo linaisha leo leo na panatulia! mechi itapangwa siku nyingine na itachezwa tu..

Rejea ile mwaka 2021 May 8, Yanga waligoma kucheza baada ya mabadiliko ya muda wa mechi na Simba, na wakadai hawatacheza tena..

Lakini ilipotajwa tarehe nyingine walicheza.
 
Umesema sahihi mkuu. Huo ndio ukweli na hakuna point tatu pale. Wanachofanya ni kunyamaza ili upepo upate huku wanawaomba viongozi wa Yanga wakubali kurudia game.
Yanga nao.wesema hawatacheza imeisha hio! Na wakikubali kucheza wallah nakwambia hamna atakaeenda
 
Nachofaham mimi, hili jambo linaisha leo leo na panatulia! mechi itapangwa siku nyingine na itachezwa tu..

Rejea ile mwaka 2021 May 8, Yanga waligoma kucheza baada ya mabadiliko ya muda wa mechi na Simba, na wakadai hawatacheza tena..

Lakini ilipotajwa tarehe nyingine walicheza.
Sidhani kama watakurupuka kwa sasa kutolea tamko kwani watu wamejaa upepo.

Kimsingi watacheza tu ila sio kwa uharaka huo. Sasa watu wamechanganyikiwa. Watasubiri upepo huu upate kwanza mkuu.
 
Utaratibu wa Timu kupewa pointi 3 baada ya timu nyingine kutofika uwanjani upoje? Maana:

1. Ilitakiwa Yanga wafike uwanjani muda wa mchezo husika.

2. Kuwe na viongozi wote wa mechi husika wakiwemo makamishina na refarii uwanjani ambaye atawaongoza waingie uwanjan muda ukifika.

3. Saa moja na robo refarii angepuliza kipyenga kuashiria kuanza kwa mchezo.

4. Refarii angesubiria timu nyingine iingie uwanjani kwa muda wa dakika 15.

5. Baada ya dakika 15 kutimia bila timu nyingine kuingia uwanjani, refarii angemaliza mechi na timu iliyokuwepo uwanjan ingepewa ushindi na alama 3.

Je! kwa jana hayo yote yalikamilika ili Yanga wapewe ushindi na alama 3 kama kichwa cha habari cha bandiko hili kinavyodai?
Nisaidie haya;
1. Maelezo yako haya yapo kwenye kanuni namba ngapi ya kitabu cha kanuni za ligi kuu..???
2. Kanuni zinasemaje ikitokea REFA na timu pinzani wote wapo kwenye mgomo..???
 
sasa yanga waliogopa nini kuwaacha simba wakafanye mazoezi?mnasema hamkupewa taarifa uwanja wenu ule?
weww unamkataza simba asiingie uwanjani wewe kama nani?
Kwenye uwanja wowote, timu mwenyeji ndo anakuwa mwenye uwanja kwa wakti huo..!!
 
Biashara united fc na JKT Queens wadai haki zao
 
Usilete matusi Yako hapa,
Nimeamka nimepitia Mitandao yangu pendwa miwili X formerly known as Twitter na JF.

Nilichokiona hata waliokua wanatetea swala la Simba mapema Ile wamegeuka nao saiv wanailaumu Bodi.
HAWA BODI N WASENGE MKUUUU

SIMBA NA PAMBA SIMBA ILIVAMIA MAZOEZI YA PAMBA

MBONA HAO MBWAA WALICHEXA MECHI AWAKUHAIRISHAA??

SIMBA VS SINGIDA

WALIZUIA SINGIDA KUFANYA WARMUP
HAWAKUKUWADHIBIWA MBWA HAWA

SIMBA WAMEZUIWA MECHI ZA KIMTAIFA KUFANYA MAXOEZI

MBONA WALICHEXA MECHII

HAWA N WASHENZI WANAHITAJI KUPAKWA MAFUTA WAWE NA ADABUU
CAF NA FIFA LAXIMA WAINGILIE KATI HII LIGI WAMEKUWA WALOZI WAHUNI MATAPELI WATUPU KAXI KUSUBIRI KUPIGA DILI MECHI XA SIMBA NA YANGA
 
Yanga angepata point 3 kama bodi ya ligi isingetoa taarifa ya kuahirisha mechi. Hii kesi hata ukipeleka CAS bado Yanga haiwez kupewa point 3 kwa sababu Simba wao watatoa ushahidi wa mechi kuahirishwa, kwahiyo kesi itabaki kuwa ya Yanga dhid ya bodi ya ligi.
Ila kwakuwa Yanga linapokuja suala la kanuni na Sheria huwa wanakurupuka na hili pia wanaona kama kuna point za bure ila ukitulia vizur hapa hakuna point za mezani.
 
Simba wamekimbia mechi kwasababu ya kuogopa kfungwa maana kungekuwa na madhar makubwa sana kwa simba kuluzi hiyo gemu.

Kwa simba kunyang'anywa point mezani ni bora zaidi kuliko kulozi mara tano mfululizo, uongozi wa simba ungekuwa ktk hali mbayo sana. Kongole uongozi wa simba mmetumia akili kubwa kukimbia game
 
Ushirikina tu. Bongo tuko nyuma na tutazidi kuwa nyuma. Shame on you Simba Yanga Kwa kuamini ndumba na uganga. Mmewatia watanzania hasara za kifedha, mmewafanyia watz ukatili wa kisaikolojia, mmetudhalilisha watz kimataifa.
Ningekwa na Hela ningeshtki Simba Kwa urojo huu. Watu wamelipia we Kwa kuamini tu uchawi unaamua kutokucheza.
Visingizio kibao. Mi mwanasimba but tukifungwa mechi ijayo Wala sitaumia coz moyo wangu baada ya hili umeamua kukubaliana na chochochote.
Ungeishitaki Simba kwani ndo wamehairisha mchezo?
 
Hawakutoa taarifa popote, waliibuka kama mzimu. Na Yanga hawashiki funguo za uwanja, na wao walipowasiliana na meneja wa uwanja ndio akawalima ban sio kiongozi wa Yanga.

Kuipakazia Yanga ni kichaka tu ili kosa wamtupie mwananchi.
Yanga hawashiki funguo jana wameingiaje uwanjani?
Na mechi ilitangazwa imeghairishwa?Au mlivunja mAgeti kama ulivyo utaratibu wenu?
 
aliehalalisha simba isiende ni TFF NA TLB
unajua mwanzoni Mzee Mguto alisema mechi ipo
naona kuna maelekezo walipokea wakakancel tena
 
Back
Top Bottom