ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Ibrahim hakuwa myahudi wala mkristo, liko wazi kabisaaa wayahudi walitokana na mjuu wake Yakobo na wakristo walikuja miaka mingi baada ya Yesu kufarikiQuruani imetungwa karne ya saba mambo ya 3000yrs ago imeyakopi na kuongezea Confusion.
Wa wazungu anaitwaje?Nimetumia neno "Mungu" nikiwa na maana yangu Mungu ni wetu sisi Weusi Allah ni wa Waarabu.
Wazungu gani?Wa wazungu anaitwaje?
Kwanini masuala ya dini yamepoteza utu wako na kuhalibu akili yako ndugu yangu mtanzania mwenzaguKumbe Mungu ni wa watu weusi tu sa Yesu ni mzungu au lile ni sanamu tu 😄 Ndio mana weusi hawaendelee kumbe wana Mungu wao tofouti na Warabu na Wazungu 😄
Punguzeni ujinga Allah ndio God ndio Mungu ni lugha tu tofouti.
Unasema wewe kama nani?!Ibrahim hakuwa myahudi wala mkristo,
Ni hatua kubwa kwa waafrika KUTOKA kuwa watumwa wa wazungu Hadi Viongozi wa wazunguHivi kwa nini Waafrika huwa wanafurahia inapotokea mtu mwenye asili ya Afrika kapata nafasi ya uongozi wa juu kwenye nchi zilizoendelea?
Una kitu hebu rudia tenaHuyo siyo Mnigeria wala hawajawahi kuwa Mnigeria, ni Muingereza, amezaliwa Uingereza, kaishi, kasoma na kulelewa uingereza, ameolewa na Mzugu muingereza.
Huyo ni Muingereza - mweusi, siyo Mwafrika.
Watu weusi wanapofanikiwa nchi za watu mnakimbilia kuwafunika Uafrika na kuanza kujinasibu kupitia wao ilihali uafrika wao siyo uliowasaidia bali mifumo ya nchi hizo.
Wakitoka Waafrika walioishi nchi za Ulaya na Marekani kuja huko Afrika kukamata fursa na hata uongozi wa juu, huwa mnawakana si wenzenu na mnawaita vibaraka wa mabeberu.
Mayweather alishawarekebisheni kwamba, yeye siku zote atabaki kuwa black-american, siyo african-american.
Weusi siyo uafrika wala baba au babu siyo wanao dominate asili na mifumo ya maisha ya mtu, mtu ni matokeo ya culture anayoiishi, siyo culture ya mababa au babu zake ambayo yeye hajawahi kuiishi.
Hahaha!Ni hatua kubwa kwa waafrika KUTOKA kuwa watumwa wa wazungu Hadi Viongozi wa wazungu
Kwa Mwafrika mwenye moyo ambao sio kichawi lazima afurahie
Tukiitana Khadija,Yahya, Hussein na Fatma ni sawa?WaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
Kwahiyo hayo majina 99 ni sifa zake siyo majina yake? Elimu tunaomba sheikhYesu ana majina mangapi?
Allah ni Allah hizo sifa 99 alizo nazo ni Nuru, Alihaq , Al Razaq, Al Mutakabari na etc
Mshine wapi?Ni zamu yetu Waafrika kushine.
Yesu ni Kristo, Ni Masihi. So allah ana majina yanayomsaidia katika nini? Na jina lake la 100 ni Shetain.Yesu ana majina mangapi?
Allah ni Allah hizo sifa 99 alizo nazo ni Nuru, Alihaq , Al Razaq, Al Mutakabari na etc
Uingereza na US huko US Kamala huko Uingereza KemiMshine wapi?
Ni upuuzi.nchi zenu za kiafrika mmeziongozaje?Uingereza na US huko US Kamala huko Uingereza Kemi
Mimi kama mjuzi wa hizi kaziUnasema wewe kama nani?!
Kule alipopata cheo huyo Mnigeria?Wazungu gani?
Sheikh Saad Abdallah Al Sabah alikuwa mweusi na mama yake mtumwaHuko Uarabuni Mtu mweusi hawezi kupewa nafasi kama hiyo wanatuita Al Abidi.
Scottish Gaelic ni Dia Wells ni Duw England ni God.Kule alipopata cheo huyo Mnigeria?
Si ndio maana walifosi aabdicate kwasababu ya Weusi wake.Sheikh Saad Abdallah Al Sabah alikuwa mweusi na mama yake mtumwa