Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Kemi Badenock Mdada wa Kiingereza ambaye Wazazi wake walitokea Nigeria aweka Historia kuwa Mwafrika wa Kwanza Kuongoza Chama cha Conservatives UK

Quruani imetungwa karne ya saba mambo ya 3000yrs ago imeyakopi na kuongezea Confusion.
Ibrahim hakuwa myahudi wala mkristo, liko wazi kabisaaa wayahudi walitokana na mjuu wake Yakobo na wakristo walikuja miaka mingi baada ya Yesu kufariki
 
Kumbe Mungu ni wa watu weusi tu sa Yesu ni mzungu au lile ni sanamu tu 😄 Ndio mana weusi hawaendelee kumbe wana Mungu wao tofouti na Warabu na Wazungu 😄

Punguzeni ujinga Allah ndio God ndio Mungu ni lugha tu tofouti.
Kwanini masuala ya dini yamepoteza utu wako na kuhalibu akili yako ndugu yangu mtanzania mwenzagu
 
Hivi kwa nini Waafrika huwa wanafurahia inapotokea mtu mwenye asili ya Afrika kapata nafasi ya uongozi wa juu kwenye nchi zilizoendelea?
Ni hatua kubwa kwa waafrika KUTOKA kuwa watumwa wa wazungu Hadi Viongozi wa wazungu

Kwa Mwafrika mwenye moyo ambao sio wa kichawi lazima afurahie
 
Una
Huyo siyo Mnigeria wala hawajawahi kuwa Mnigeria, ni Muingereza, amezaliwa Uingereza, kaishi, kasoma na kulelewa uingereza, ameolewa na Mzugu muingereza.
Huyo ni Muingereza - mweusi, siyo Mwafrika.

Watu weusi wanapofanikiwa nchi za watu mnakimbilia kuwafunika Uafrika na kuanza kujinasibu kupitia wao ilihali uafrika wao siyo uliowasaidia bali mifumo ya nchi hizo.

Wakitoka Waafrika walioishi nchi za Ulaya na Marekani kuja huko Afrika kukamata fursa na hata uongozi wa juu, huwa mnawakana si wenzenu na mnawaita vibaraka wa mabeberu.

Mayweather alishawarekebisheni kwamba, yeye siku zote atabaki kuwa black-american, siyo african-american.

Weusi siyo uafrika wala baba au babu siyo wanao dominate asili na mifumo ya maisha ya mtu, mtu ni matokeo ya culture anayoiishi, siyo culture ya mababa au babu zake ambayo yeye hajawahi kuiishi.
Una kitu hebu rudia tena
Kwamba unasema? Rudia tena hawajasikia
 
WaNigeria ninachowapendea huwa hawaachi majina yao a asili ,hata mtoto azaliwe Ulaya au America lazima apewe jina la asili. Wadanganyika wanadai majina ya asili yana laana ,wanashindana kuwaita watoto wao Nancy, Junior wakati hawajawahi hata kuvuka border ya Julius Nyerere Airport au border ya KIA kwenda kwa hao kina Nancy halisi
Tukiitana Khadija,Yahya, Hussein na Fatma ni sawa?
 
Huko Uarabuni Mtu mweusi hawezi kupewa nafasi kama hiyo wanatuita Al Abidi.
Sheikh Saad Abdallah Al Sabah alikuwa mweusi na mama yake mtumwa
Alikuwa mfalme (Amir) wa Kuwait na Airforce ya huko wakubwa wote yaani top ni weusi wao ndio wameshika post nyeti kabisa
I was there wala sio ya kuhadithiwa mkuu
Kwa hili nalijua sana
Nimekaa miaka ya 80 nchi hizo
Kweli wanakuita Abid ila duniani kote ubaguzi upo
Na hapa nilipo sasa kupanda inabidi upambane haswa na ubaguzi umo ila serikali inakaza na unaweza kufungua kesi kwa hilo
 
Back
Top Bottom