Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

Binafsi naona kama haileti sense lakini kwa Kenya sishangai

Kama watu 400 walikufa ndio serikali kuja kugutuka
 
Kesi za wanawake arubai kutoweka ??
Haonekani kazini
haonekani nyumbani
simu yake haipatikani
nk
mbona siyo rahisi labda uniambia police wakipelekewa mtu kapotea hawafanyii kazi
Ni rahisi sana Mkuu, nikuulize swali. Unafahamu mtaani kwenu leo auwezi huu kumehamia wakazi wapya wangapi? Na wangapi wamehama huo mtaa.

Mfano kuna watu wanatoka Kibaha na morogoro wanakuja kujiuza Dar wanakaa siku kadhaa alafu wanarudi makwao. Sasa mfano serial killer akawa anawaua hao unafikiri itakuwa ni rahisi kugundulika?

Kwa mjini ni rahisi sana tofauti na vijijini ambapo hata mtoto akienda shule boarding kijiji kizima kinajua kuna mtu kasafiri.

Mtaani kwenu tu sahivi unaweza kuta kuna vijana wa chuo wamekuja likizo wakakaa hata mwezi mzima wala hata mtu usijue.
 
Mwanajf hebu nenda ka google kuhusu serial killer
 
Ndio kazi ya usalama mkuu!!
Kuwa tofauti na watu wakawaida
Kuwa na mbinu tofauti
Kumbuka hawa wamekaa darasan kusomea yote hayo unayoongea

Kwaiyo usilimganishe mm na chombo cha upelelezi
 
Uzungu mwingi kwa raia kila mtu na maisha yake kwa bongo mtu baki tena kwenye slums ukifikisha watu watanov bila kubainika wewe kidume
 
Ushapata majibu ya mshangao wako? Kuna ma serial killer wameua watu mpaka 100 ndio wamekuja kukamatwa.
mkuu katika orodha ya maserial killer sijaona huyo aliyeua watu 100
 

Attachments

  • 12C7EE63-F2EE-447D-8FD7-F209A4205075.jpeg
    652.6 KB · Views: 1
  • A44B2A8A-B555-4BDF-91CD-9799EA267F43.jpeg
    315.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…