Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #41
Binafsi naona kama haileti sense lakini kwa Kenya sishangaiJe hakuna taratibu za kuripoti mtu aliyepotea!? Au ni hisia za kujua mwanamke akitoka yupo salama Kwa mwanamume!? Hii haijakaa SAWA, ni dada zetu ni mama zetu, je kuwa simple, kujirahisi Ndio iwe adhabu ni kifo!? Polisi inatakiwa watoe report za hao wote waliopotea pamoja na mhanga wa kwanza mke wake mtuhumiwa
Kama watu 400 walikufa ndio serikali kuja kugutuka