Wanawaza simba na yanga kila dakikasasa bongo kwa akili hizi zinazowaza ngono kila muda kwanini tusizidiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawaza simba na yanga kila dakikasasa bongo kwa akili hizi zinazowaza ngono kila muda kwanini tusizidiwe
Hata huo ni ujanja...Kiukweli Kenya wajanja kuzidi Wa Tiiziii!Hao wananunua tz wanasema wanalima wao. Siku tukifunga mipaka watalia njaa
Kama taifa tunahitaji mapinduzi makubwa ya kifikra mkuu, bila hivyo tutaendelea kuburuzwa tuuWanawaza simba na yanga kila dakika
Kwa hiyo jamaa aliamka asubuhi tu akaamua? Upuuzi mtupu.Eneo la uwekezaji (Mikindani Estate) Mtwara. Kesi ilikuwa kubwa hadi kufika The Permanent Court of Arbitration (PCA).
Sanaa yaani vijana wako bize sana na connection kuliko mambo yooteKama taifa tunahitaji mapinduzi makubwa ya kifikra mkuu, bila hivyo tutaendelea kuburuzwa tuu
Hapana alishiba mihogo kwanza...Kwa hiyo jamaa aliamka asubuhi tu akaamua? Upuuzi mtupu.
Mbona umechanganyikiwa?Hapana alishiba mihogo kwanza...
Hujaona daraja la Busisi Kigongo ,Ujaona Madarasa kila wilaya na kila kata ,hujona Hospitali kila kona hujaona ajira mpya , hujaona lami kila mkoa saiv kila wilaya , hujaona mikopo elimu ya juu ,YAAN WE UMEONA PARACHICHI TU
Mbona umechanganyikiwa ?Mbona umechanganyikiwa?
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.
Mbona umechangayikiwa?Mbona umechanganyikiwa ?
Huu ni ukichaa!Punguza makasiriko hao unaosema masalia ya wazungu wanazalisha ndani ya taifa la Kenya kodi wanalipa Kenya wamewaajiri wakenya fedha za kigeni zinaingia Kenya na Kwa taarifa yako hata mama yetu anazunguka dunia nzima kututafutia watu wa aina hiyo ili waje hapa kwenye ardhi yetu wafanye hayo hayo.
Kwa hiyo badala ya kurukaruka tuishauri serikali iimarishe sera zake za kilimo cha mbogamboga matunda na maua ili siku moja hii secta iweze kuvutia wawekezaji wakubwa.
Duniani kote huwezi kuwa giant kwenye kilimo bila kutumia wakulima wakubwa. Na wakulima wakubwa hawawezi kupeleka mitaji yao mahali ambapo sera hazivutii wala kutabirika.
Hivi Kuna sentence hata moja nimeandika namsubiri mama aniletee wageni? Inaonekana una stress ambazo unataka kunibwagia hapaHuu ni ukichaa!
Unasubiri mama alete watu wakutengenezee maendeleo wewe?
God have mercy upon us!
Soma tena babdiko lako kuhusu kazi unayomsifia "mama".Hivi Kuna sentence hata moja nimeandika namsubiri mama aniletee wageni? Inaonekana una stress ambazo unataka kunibwagia hapa
EeenHeeee!Kuwauzia sio hisani kwao. Ni biashara ambayo tunaiihitaji kuboresha maisha na uchumi wetu. Mbona hujawaza iwapo wakigoma kununua hali itakuwaje kwa wakulima?
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.
..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.