Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

Hujaona daraja la Busisi Kigongo ,Ujaona Madarasa kila wilaya na kila kata ,hujona Hospitali kila kona hujaona ajira mpya , hujaona lami kila mkoa saiv kila wilaya , hujaona mikopo elimu ya juu ,YAAN WE UMEONA PARACHICHI TU
 
Kamwe Kenya haiwezi kuiambia kitu Tanzania kwenye suala la kilimo. Wapinzani wetu kwa nchi zilizo karibu ni Zambia, South Africa labda na ile Zimbabwe ya zamani.
 
Hujaona daraja la Busisi Kigongo ,Ujaona Madarasa kila wilaya na kila kata ,hujona Hospitali kila kona hujaona ajira mpya , hujaona lami kila mkoa saiv kila wilaya , hujaona mikopo elimu ya juu ,YAAN WE UMEONA PARACHICHI TU

..hayo unayosema yamefanyika ni mambo mazuri na tunayaunga mkono.

..swali ni kwamba; ikiwa madaraja, barabara, hospitali, vyuo, nk, vinajengwa kila mahali, kwanini Watanzania bado tumekwama?

..Tanu/ Ccm imekuwa madarakani toka tupate uhuru hivyo inastahili lawama kwa mkwamo huu.
 
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.

..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.

Nani sasa wa kuwa makini 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Punguza makasiriko hao unaosema masalia ya wazungu wanazalisha ndani ya taifa la Kenya kodi wanalipa Kenya wamewaajiri wakenya fedha za kigeni zinaingia Kenya na Kwa taarifa yako hata mama yetu anazunguka dunia nzima kututafutia watu wa aina hiyo ili waje hapa kwenye ardhi yetu wafanye hayo hayo.

Kwa hiyo badala ya kurukaruka tuishauri serikali iimarishe sera zake za kilimo cha mbogamboga matunda na maua ili siku moja hii secta iweze kuvutia wawekezaji wakubwa.

Duniani kote huwezi kuwa giant kwenye kilimo bila kutumia wakulima wakubwa. Na wakulima wakubwa hawawezi kupeleka mitaji yao mahali ambapo sera hazivutii wala kutabirika.
Huu ni ukichaa!

Unasubiri mama alete watu wakutengenezee maendeleo wewe?

God have mercy upon us!
 
Huu ni ukichaa!

Unasubiri mama alete watu wakutengenezee maendeleo wewe?

God have mercy upon us!
Hivi Kuna sentence hata moja nimeandika namsubiri mama aniletee wageni? Inaonekana una stress ambazo unataka kunibwagia hapa
 
Hivi Kuna sentence hata moja nimeandika namsubiri mama aniletee wageni? Inaonekana una stress ambazo unataka kunibwagia hapa
Soma tena babdiko lako kuhusu kazi unayomsifia "mama".
Mnapokariri yaliyoandikwa vitabuni na kudhani mmejua kila kitu, hapo ndipo mnapopotea.
 
Kuwauzia sio hisani kwao. Ni biashara ambayo tunaiihitaji kuboresha maisha na uchumi wetu. Mbona hujawaza iwapo wakigoma kununua hali itakuwaje kwa wakulima?
EeenHeeee!
Hivi unajua ulichoandika hapo?
"Wakigoma"? kwani walipoweka ngumu kuhusu mahindi yetu kuwa na 'aflatoxin' hawakuwa wamegoma? Na hiyo ilikuwa siyo mara ya kwanza, au haya mambo wewe huyajui!
Soko hawana wao pekee yao kiasi kwamba wakigoma hatuwezi kuuza bidhaa zetu kwingineko, kama wao wanavyoweza kwenda kwingine, wakitaka.
 
..Majirani wako makini kwelikweli ktk masuala ya kilimo, na wanazingatia viwango.

..angalia video hizi mbili kuna mengi ya kujifunza kuhusu namna ya kufanya kilimo.

Kumbuka Parachichi nyingi wanachukua Iringa na Mbeya wakifika kwao wanaziosha vizuri na kufanya packing wanaita za kwao wanakwenda masoko ya kimataifa... sisi tunaendelea kuwa watazamaji
 
Back
Top Bottom