Kero: Msafara wa Rais umekuwa mateso kwa watumiaji wa barabara

Unajua na kuelewa ulichoandika?
 
Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Nina mashaka na ushindi wa urais wa mzee meko.
Kama umechaguliwa na wananchi ulinzi wote wa nn??

Wizi wa kura umemfanya mzee meko awe na PARANOIA muda wote!
 
Huyo ndio mbana matumuzi!!
Kumbe maisha matamu... anaogopa kutunguliwa ili aendelee kula maisha kama hivi. Ila ni mwepesi sana kuruhusu wenzake watunguliwe kama Lisu, japo Mbowe naye alikoswakoswa. Anapenda kutendea wenzake mabaya, lakini hataki kutendewa anayoamuru wenzake watendewe...
 
Nikweli kabisa,,tena ulinzi hautoshi ilitakiwa juu kuwe na helkopta tatu
 
Yani lihelikopta lenyewe kama bovu bovu vile likidondoka ntafurahije
 
Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Magufuli mshamba mno walahi...Membe afanye tu lolote hata kama si halali
 
Angekuwa na escort ya nagari mawili ungeongea tu .....why? Why? zingekuwepo wanadamu bwana
 
Kuna njia nyingi za kubana matumizi. Hiyo mojawapo
 
Halafu lumumba kutwa kusingizia upinzani
Haya huyo anafanya nini?
Someone has to go!
It's RIDICULOUS
 
Hahahahaaaa mkuu unaona wivu nini au umetumwa na mabeberu kukwamisha maendeleo

Huyo ndo jiwe mzee Wa kubana matumizi
Kwa hiyo kama katumwa na mabeberu, maana yake na yeye pia ni beberu so sasa na wewe ni lini utakuwa beberu utume,!? Btw jike litaendelea kubaki jike tu, haliwezi kuwa beberu kamwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…