Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Leo akitokea Namanga ilikuwa ni zaidi ya magari 300Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Ni haki nchi maskini kama Tanzania Msafara wa Rais Kuwa namagari zaidi ya Mia na helkopta mbili angani tutaona matokeo chana kwenye mandishi tu
Hapo kwenye hio video, Rais wa wanyonge anatembea na escort yenye gharama zaidi ya Billioni 5. [emoji53]
*** (Idadi ya Land Cruiser VX) × (Thamani ya VX Moja kiwandani) = ???
*** (Idadi ya Watumishi) × (Posho kwa siku/kila mmoja) = ???
*** (Idadi ya magari/helicopter) × (Gharama za Mafuta) = ???
*** (Gharama Zote) × (Misafara atakayo fanya miaka 5) = ???
Ruhusa kuni elimisha au kunitoa kasoro wakuu (hata kunitolea povu pia ruhusa),[emoji53]

Gharama halisi ni mafuta+posho. Hayo magari hayakununuliwa kwa ajili za ziara pekeeHapo kwenye hio video, Rais wa wanyonge anatembea na escort yenye gharama zaidi ya Billioni 5. [emoji53]
*** (Idadi ya Land Cruiser VX) × (Thamani ya VX Moja kiwandani) = ???
*** (Idadi ya Watumishi) × (Posho kwa siku/kila mmoja) = ???
*** (Idadi ya magari/helicopter) × (Gharama za Mafuta) = ???
*** (Gharama Zote) × (Misafara atakayo fanya miaka 5) = ???
Ruhusa kuni elimisha au kunitoa kasoro wakuu (hata kunitolea povu pia ruhusa),[emoji53]
Hata siku moja hawawezi kupanda gari kwa sababu za kiusalama.Si walikua marais watutu kwenye gari moja hiyo Benz. Nazani ulinzi ni sahihi kabisa kama ni kweli walisafiri pamoja
God leftus thus watu wamebomolewa nyumba zao kiuonevu,fukuzwa Kazi,tekwa,mambo yamekwama uchumi umekufa, laana ni nyingi kuliko BARAKAWizi mtupu!
Kubana matumizi na siasa safi usitegemee kuviona ndani ya mfumo huu na katiba hii yenye mapungufu lukuki. But time forever frozen still, Mungu yupo nasi yatapita tu.
Ndo kusema mwenyekiti anamuogopa mwanachama wa kawaidaHuu uoga dhidi ya Membe hautomuacha mtu salama!
Matendo ya MTU uchagua aina ya ulinzisijawahi ona mtu akilindwa namna hii
Kwani v8 moja sawa na punda ngapi Lumumba?Sasa mlitaka rais awe na msafara wa punda mia ngapi??
Hasira za nini? Una ujauzito?Mods naomba sana sana muweke jukwaa jipya la kutolea hasira kwa watu wanaokera kwa kuandika uzushi na upumbavu. Yaani ninahasira pu...तकप्ከፈሀተወበደኘለጰከتيخثعبتيوحوظرسن.. ращнптуаилጀፈተቀሀከከነ . sana .....aaaah kero sana