Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

Huo uoga wa akili yako, pole sana.
Kwenye msiba mkubwa wa Meli iliyoua hawakwenda ila kwenye sherehe wanaenda .Aiseeee

Anyway naona Mbowe yuko.kwenye kampeni atabeba wajumbe kibao kwa pesa ya ruzuku awalaze mahoteli mazuri wale wanywe wajione na wao Ni sehemu ya kula ruzuku.Kumbe miaka yote alikula peke yake anataka kuwalambisha kakijiko kadogo ka chai sukari kidogo tarehe 18 December wampe kura
 
strategic hiyo.
Waende hapo wavae tishirt mbili ila wakifika wavue ya juu wabakie na ya ndani iliyoandikwa
Nchi yetu sote TUPENDANE
 
Kwenye msiba mkubwa wa Meli iliyoua hawakwenda ila kwenye sherehe wanaenda .Aiseeee

Anyway naona Mbowe yuko.kwenye kampeni atabeba wajumbe kibao kwa pesa ya ruzuku awalaze mahoteli mazuri wale wanywe wajione na wao Ni sehemu ya kula ruzuku.Kumbe miaka yote alikula peke yake anataka kuwalambisha kakijiko kadogo ka chai sukari kidogo tarehe 18 December wampe kura
Mbona muda wote unaota fedha ya ruzuku?
 
Ndiyo ni lazima na inasaidia sana kuhamasiha makamanda wajitokeze kwa wingi tena vifua mbele kushehekea uhuru wetu tuliopata kwa beberu mweupe pia kuwasilisha malalamiko ya uhuru wetu uliopokwa na beberu mweusi.
Sie tuliwaambia suseni tu mtatukuta mbele ya safari. Magufuli unavyozidi kumnunia ndio unamuongezea mwendo.
 
Baada ya hapo, utasikia kunamtu katekwa /kapotea Kanda ya ziwa.
 
Ana shahada zinazotambulika ulimwenguni wewe Je?
Kasome maandishi ya Ben Sa8 ndiyo utajua huyu kichwa korosho Hanna kitu. Unadhani kwann Ben Sa8 hajulikani alipo mpk leo? Alimuumbua kichwa korosho
 
Hapo ndipo unapoonesha umbumbu wako, kwani hao twaweza walitoa hizo takwimu kufuata uchama? Ati wasomi wengi na sisi ambao ni wasomi tuseme nini au kwa sababu sio wana Chadema? Hii ni mpya yaani biashara zote kubwa zinamilikiwa na Chadema? Haya endelea kuwasingizia twaweza.
Uwezo wako wa akili ni mdogo sana! Hujaelewa nasema nini? Duh! Kazi kweli!
 
Back
Top Bottom