Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
Katika yako na mimi nani atakuwa mgonjwa?Unajipendekeza mpk unakera ndugu, utakuwa siyo mzima wewe.
Mimi sijipendekezi isipokuwa tofauti yangu na yako ni kwamba mimi najua hathari za vita wakati wewe huzijui. Nyie mda wote mnawaza kula Bata tu kwa kuwa terolize watanzania kwa vitendo vyenu vya kueneza uongo usio kuwa na miguu wala mikono. Watu wazima kazi zenu kupiga kelele za uongo tu kuhusu Rais wetu na serikali yake.
Ninge wish Magufuli angekuwa diktekta kweli akawamaliza nyote nyie. Nyie ni wahuni tu msio jua misingi ya kuwa na amani kwa maendeleo yetu.
Mimi wakati nasoma Ujerumani nimesha wahi fanya kazi kwenye makambi ya wakimbizi wa Rwanda na Burundi niki fanya translation. Wakimbizi walinifurahia sana walipo sikia mimi ni mtanzania, nafikiri walijihisi mimi ni nwenzao kwa utanzania wangu.
Action hii ilinifanya nimkumbuke baba wa Taifa Mwalim Nyerere kwa jitihada zake za kuondoa hitlafu zetu za kikabila, kidini na kiitikadi kwa kutupa lugha moja ya kiswahili.
Amani ni tam na ni thawabu kubwa kuliko uroho wenu wa madaraka na ruzuku kutoka serikalini.