Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ili kudhibiti hili la kunangwa ilibidi wanachadema uwanjani wawe wengi sana ili akizidisha majungu naye azomewe kwa nguvu zote huenda ataacha.Akiongea vizuri wamshangilie akibugi wapige buuuuuuuhKwenda kunangwa hilo lisisahaulike. Ngoja tuone japo sioni kama jiwe ana staha kwa wapinzani hasa cdm