Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
Ndiyo kwa sababu nyie hamna nia ya kuwa wapinzani wa kweli wa kisiasa. Nyie ni mchanganyiko wa malooser wa kutaka maisha ya mtelemko, watu wenye kisirani na Rais wetu na serikali yake na wazandiki wasio itakia mema nchi yetu.We ni mshamba saaana unafikiri njia sahihi ya kulinda amani ni kwa kuwamaliza wale wote wenye mawazo tofauti
Nyie sio wapinzani wa kweli. Nyie ni watu ambao ni waroho wakubwa wa madaraka ambao mko tayari kutumia njia zozote zile kinyama ili mradi mfikie malengo yenu. Na ndiyo maana kazi yenu kubwa ni kubuni uongo usio semekana zidi ya Rais wetu na serikali yake.
Kwa hali hiyo hampaswi kuwa katika jehazi moja na wazalendo wa kutaka amani a maendeleo ya nchi yao.