Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

Kwanza tunashukuru kwa kuunga mkono juhudi, pili sababu zilizowafanya wasihudhurie sherehe za kitaifa zimeisha? Tatu hawa jamaa wasipewe maiki wasalimie watambulishwe na kupunga mkono tuu hawaaminiki hawa miaka yote wazingue leo wamegundua nini.
 
Acha ufala wewe. Ulisoma Ujerumani kwa akili ipi? Halafu soma aya ya pili kutoka mwisho wa huu utumbo wako. Mbona huyu ba..sha wako anahubiri ubaguzi wa wazi na kuwanyanyasa wengine kisiasa. Hii ndiyo amani unayoijua? Wewe kwako kuwa na amani ni kutokuwepo na vita? Sijui hata Ujerumani ulifikaje. Ipo siku tu wewe mtetea utataga.
Wanafikaga ujerumani kwa Kubembwa tu sio jitihada zao.
 
Kwanza tunashukuru kwa kuunga mkono juhudi, pili sababu zilizowafanya wasihudhurie sherehe za kitaifa zimeisha? Tatu hawa jamaa wasipewe maiki wasalimie watambulishwe na kupunga mkono tuu hawaaminiki hawa miaka yote wazingue leo wamegundua nini.
Kamanda Mbowe anatisha sana mbona mnaanza kuteteneja si mna majeshi na mabomu?
 
Tangu mwaka 2015 sijawahi sikiliza hotuba yoyote ya vimaadhimisho vyovyote naonaga short crip mitandaoni ila tarehe 9/12/2019 nitapika kahawa chupa nzima na kashata zangu najifungia ntaangalia kila hatua .
Mimu sijawahi kuooteza muda kusikiliza hotuba yoyote ya huyu Bwana, maama.majya hamna kitu. Itakuwa mara ya kwanza kuvuta attention tangu. Because of Brilliant H.E FREEMAN MBOWE.
 
Unajipendekeza mpk unakera ndugu, utakuwa siyo mzima wewe.
Halafu kuna mahali amesema alisoma Ujerumani. Mtu hajui kutofautisha AGP (Silo) na (IGP) Sirro anabaki kubwekabweka tu. Ndio hao ccm inaendelea kuwepo kwasababu yao.
 
Ben Sa8 aliyeua India au yupi? Mbona humuulizi Mbowe aliyekuwa mfanyakazi wake? vipi ya TL na Chacha Wangwe mbona hamsemi? DSM Uni ina hadhi ya kimataifa kwa taarifa yako tu kama hujui. Hizi porojo tumewaachia nyinyi Chadema. JPM ana kazi moja tu ya kuendeleza nchi hii kwa faida ya WTZ wote.
Makonda ndio alitekeleza kwa Amrit ya mzee baba
 
Kentanyola motele mwana.naona dawa imewaingia sasa mnnaanza kuzinduka.kwa nini mlikua hamhudhurii tokea mwanzo? Nguruwe hasusiwi shamba la mihogo
 
Waziri Kange Lugola, AGP Silo, Mkuu wa mkoa wa Mwanza na Mkuu wa Polisi wa mkoa wa Mwanza na vyombo vingine vyote vya Dola vinavyo husika, please! kuweni makini na kundi hili la CHADEMA, hawaji bure watakuwa kuna kitu wamekitengeneza ambacho kitawasaidia wao kuuonyesha ulimwengu jinsi gani serikali yatu ni serikali ya kidikteta inayo wavunjia haki wapinzani. Wanataka pics na clips za damu ya watanzania inayo mwagika ili wapate sababu ya kuuambia ulimwengu; "mnaona sasa! Tuliwaambia kuwa huyu mtu ni Dikteta," ili wapate sababu za kumsulubu Rais wetu in The Hague.

Rais Magufuli mambo unayo yafanya kwa watanzania hivi sasa, haijawahi kutokea katika Third World Country kama yetu. Tukifanikiwa sisi tutakuwa mfano kwa nchi nyingine za Afrika na hivyo kuwafanya wazungu waonekane kuwa ni kichaka.

Juhudi hizo unazo zifanya Mweshimiwa wazungu haziwapendezi hata mara moja. Umekuwa ni tishio kwao. Na ndiyo maana wanatafuta kila njia kuzuia ili sisi tusipate maendeleo unayo kusudia. Na kwa vile tuna watu miongoni mwetu ambao maslahi yao ni bora kuliko maendeleo ya watanzania wenzao wako tayari kuwaridhisha mabeberu wao kwa kuwatumikia kile wanacho kitaka ili wao nao wapate kile wanacho kizarajia, nacho ni madaraka. Kwa uroho wao wa madaraka wako tayari kuiuza nchi yetu na sisi pamoja.

Hawa ndiyo akina Mobutu Sese Seko wa Zaire na Blaise Compaoré wa Burkina Faso wanao kula njama na Mabeberu ili kuwaondoa Marais wa nchi zao wanao fanya kazi nzuri ili wao washike madaraka na hivyo kukamilisha malengo ya mabeberu wao.

Nafikiri watanzania wenzangu mmeyasikia ya Malim Seif wa NCC Wazalendo aliyo yatoa hivi juzi juzi ya kuhusiana na wizara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Bashiru Alli. Hawa watu wanatafuta kila njia ili kutuchonganisha sisi ili tupigane vita vya wenyewe kwa wenyewe. Hawako tayari kushindwa. Wako radhi tukose wote.

Watanzania tumlinde Rais wetu kwa hali na mali. Tukichfuana wenyewe kwenyewe kwa visenti watakavyo tupa, tusifikiri tutakuwa salama. Na hakuna nchi ambayo iko tayari kutupokea sisi kama wakimbizi. Wazungu wana hali mbaya sana!

Hili ni bandiko la mwanaume mwenye tabia za kike.
 
..hizo ni ndege za magufuli siyo za waTz.

..zingekuwa za waTz zisingeandikwa campaign slogan za magufuli.
Pia watanzania wangeshirikishwa kwenye manunuzi kwa sasa hatujui chochote kuhusu ndege zaidi ya kuziona tu. Alafu unasema ndege za watanzania?
 
Hili ni bandiko la mwanaume mwenye tabia za kike.
Sosa’s ni sayansi na sayansi ndo imetumika hapo.....naaamini rais wetu atashinda hili katibu I kubwa kabisa katika maisha yake
 
Wewe umelewa, au umevuta sigara kubwa?
Nilitaka kukujibu hoja kwa hoja, lakini hustahili kupewa heshima hiyo.

Mfuatilie vizuri huyu member, huwa anajisifia kasoma Ujerumani na mke wake eti ni mjerumani, anasema hata hilo jina la kwenye id Ni la mkewe! Ana pointless za hatari na hujiona bonge la msomi mzalendo. Sasa pata picha anaandika post ndefu yenye kejeli na kujipendekeza juu, huku akiwa na tatizo kubwa la kuandika kwa ufasaha, kuna post moja nilimpa vitu vyenye ncha kali mpaka akatia akili. Ni mtu aliyechanganyikiwa
 
Naona Upinzani umeanza kupata akili Sasa. Mkiendelea hivi hata Sisi wananchi Wapiga kura Tutaanza kupata Imani na nyie. Siyo utoto wenu wa kususa kila kitu Hadi kwenye vitu vya mhimu.

Safi Sana Mh. Mbowe kwa Kazi nzuri Ni halali Uendelee kuwa Mwenyekiti Wa CDM.

See you soon today CCM kirumba Mwanza
Wapiga kura wepi wa kuwa na imani? Kama wangekuwa wachache sanduku za kura zingekuwa zinaibiwa na kuporwa? Mbona mnadanganyika sana na propaganda za CCM kuwa ndio wanaopata kura za wapiga kura? Kwa nini wanatumia hila kama wanakubalika?
 
Back
Top Bottom