Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mwinyi akituma pesa ni muungwana.CDM huwa hawajielewi wanatapatapa Mwinyi ni mtu muugwana sana kwa haiba yake lkn micdm inaona imepata bonge la point
Wewe unafikiri lengo la miamala ya kutoka kwa Mbowe ilikua na lengo gani? Yeye alitaka watu wa kumlinda (VIP protection), hivyo kuwasaidia pesa hawa watu waweze kutatua baadhi ya matatizo kabla hawajaanza kazi rasmi, haikua jambo la ajabu.... issue ni lego la miamala hiyo ni lipi? Hope mahakama itaamua kwa busara!
Hawawezi kujibu. Wanaona aibu sana, hawakutegemea yote haya.Wakikujibu niambie
Hilo mawakili wa utetezi wanalifahamu vyema!Tutajua mengi,muda utaongeza!Kwani alituma wakati gani akiwa bado yuko uraiani au akiwa tayari ameshitakiwa?
Umepigwa upofu kwa mahaba na Jpm, huwezi ona hata anahusikaje...pole yako sana!!jpm anahusikaje
Hata hivyo umejitahidi, mtu kama huyo ni kumpuuza jumla.Sorry, sijibishani na vichaa
Sorry, sijibishani na vichaa
Kumbe hujapitia hiyo cross examination, kuna miamala 19 ambayo ilifanyika kwa Bwire ikiwemo ya watu ambao barua ya maombi haikuhitaji, ni miamala ya mh. Mwinyi tu ndiyo imeondolewa. Mawakili wa utetezi wameanzia mbali kuhakikisha wanafunga mianya yote kabla ya kufika kwenye hoja ya mh Mwinyi. Labda kama ni mvivu wa kufuatilia au ni mzito kuelewa logic za maswali ya mahakamani.... kwa hili Airtel haliwahusu sana; wanaweza kujitetea. Orodha ya miamala wao waliitoa kama walivyokua instructed na barua ya polisi ambao walikuwa wanataka miamala among specific numbers so, (Airtel) wasingeweza kutoa miamala ambayo hawakuulizwa!
Nadhani ni yeyeKama kumbukumbu zangu ziko sahihi,huyu shahidi si ndiye aliyeingia mitini mara ya kwanza alipoitwa?Nahisi ameshurutishwa!
Usishangae Dr Mwinyi ameshiriki mchongo huuUoga ni kwasababu tayari ana maamuzi ya kesi mfukoni.
Lakini pia najiuliza Mwinyi alimtumia Bwire pesa kwa madhumuni gani?
Kwani Mbowe alituma wakati gani? Unafikiri Mbowe alituma wakati Bwire akiwa ameshitakiwa? Ukiwa neutral utakuta unapata ufahamu sana kwenye haya mambo. Jiweke mbali na huko uliko jing'ang'aniza, uwe huru, huwezi kuwa mzito kuelewa.Kwani alituma wakati gani akiwa bado yuko uraiani au akiwa tayari ameshitakiwa?
Excellent observations!Inawezekana alikua anamsaidia commando wake baada ya kuwa hana kazi, ukichukulia yeye alikua ni waziri wa ulinzi. Kosa ni hao upande wa mashitaka walioziondoa hizo transactions, kitu kinachoonyesha nia yao ni kuwafunga kwa hila tu. Hakukua na sababu ya kuondoa baadhi ya miamala, kama ushahidi wao ni genuine.
Elewa hoja sasa, kama wanadai Mbowe kutuma pesa ni Ugaidi, kwanini isiwe Ugaidi alipotuma Mwinyi?Kwani nikosa kumtumia mtu pesa?
This is going to expose their behinds no doubt!Hili swali limezua mshituko sana huko kwa watu waliochonga hii kesi na kwa jamii kwa ujumla, watasema ilikuwa kwa nia njema , sijui wataiprove vipi ili itofofautiane na nia ya Mbowe ...
Nani anaweza kumtumia mtu akiwa chini ya ulinzi na simu zake zikiwa zimeshikiliwa. Kuwa huru uweze kuelewa.Kwani alituma wakati gani akiwa bado yuko uraiani au akiwa tayari ameshitakiwa?
Kwanini Hussein Mwinyi amtumie hela Bwire , wanafanya biashara gani ?Kwa hiyo wote waliomtumia miamala huyo Bwire waitwe!!?