Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mwinyi akituma pesa ni muungwana.CDM huwa hawajielewi wanatapatapa Mwinyi ni mtu muugwana sana kwa haiba yake lkn micdm inaona imepata bonge la point
Mbowe akituma pesa ni gaidi.
Nyie praise team huwa mnafikiri kwa kutumia matumbo.