Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

Aisee!. Hii kesi ifutwe tu.
Hapo bado Mbowe hajaanza kujitetea. Nahisi atakuja kuongea mambo mazito. Kuanzia uonevu aliofanyiwa wa Bilcanas kuvunjwa, kuharibiwa bustani zake, vitisho toka kwa wakubwa, Kubambikwa kesi ya mauwaji ya Akwilina, Msaidizi wake kutekwa, Lisu kupigwa risasi na kisha yeye kubambikiwa kesi. Akijipanga vizuri kuweka evidence na mtiririko wa mateso yake, atawavua nguo sana watawala.
 
Duh ni balaaa
 
Mungu hadhihakiwi
 
... kwa hili Airtel haliwahusu sana; wanaweza kujitetea. Orodha ya miamala wao waliitoa kama walivyokua instructed na barua ya polisi ambao walikuwa wanataka miamala among specific numbers so, (Airtel) wasingeweza kutoa miamala ambayo hawakuulizwa!
 
Hapana haiko hivyo, Shahidi kaulizwa idadi ya namba alizoombwa atume, akasema tatu ila katuma mbili, kaulizwa kwanini akasema ni OVERSIGHT hahahahahah kama ungefuatilia updates za Leo ungepata jibu mapema Kabla ya kupost
 
unajua akina Bwire wamekamatwa lini ?
 
Wauliza machadema?Vipi kuhusu masisiemu yanayoumana,Yana akili au hayana?
 
Hapana haiko hivyo, Shahidi kaulizwa idadi ya namba alizoombwa atume, akasema tatu ila katuma mbili, kaulizwa kwanini akasema ni OVERSIGHT hahahahahah kama ungefuatilia updates za Leo ungepata jibu mapema Kabla ya kupost
.... ha ha ha! Oversight my foot! Mdada mwenyewe meneja kitengo cha sheria huko Airtel; msomi wa sheria na mtaalamu wa muda mrefu wa mawasiliano! Shughuli la kikubwa hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…