Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

We are lumpens
 
Ukiwa CCM vision myopic
 
Ushauri wa Lema unaleta moral question.

Suppose kweli Mbowe kazushiwa, Lema kwa kukimbia vita na kukimbiza familia yake nje ya nchi pengine kwa kuogopa kupewa makosa hayo wanayoita fabricated; anakosa moral authority ya kumshauri Mbowe.

Mbowe na yeye pia ana familia yake na chama cha kukisimamia; huo ndio mziki wake. Ushauri wa mtu aliekimbia huo mziki unafaa kweli. Uwezi kumshauri mtu kufanya kitu ambacho wewe mwenyewe unaogopa yasikukute.

Kwenye siasa pana wasaa zinataka pressure ili umtibue mpinzani afanye irrational decisions, matendo ya kina Mdee zama zile ya kuzua jambo juu ya jambo mpaka na wao kuwa na kesi yanachangia sana kutengeneza mazingira ya unyanyasaji.

Kwa sasa Mbowe kabakia na keyboard warriors tu, halafu wanataka aachie uhuru wake kirahisi kirahisi.

Also kuna swala la ‘cause and effect’ what are the beneficial outcome Mbowe akisusia kujitetea?

Uwezi kuniambia niruke baharini, papa anitafune mnionee huruma and then what; liwe somo kwa wengine baharini kuna papa (at the cost of my life) au what exactly is the objective ya mimi kujirusha. I have seen Jaws so I need a very good reason why I should jump on shark infested waters.

It’s time Mbowe aachane na ushauri wa hao watu too costly for his wellbeing.

Yaani niache kuonyesha dunia these are fabricated charges niende jela kirahisi kwa ushauri wa mtu aliekimbia vitu vile vile nilivyotupiwa mimi.
 
Mtu amekaa magereza utarejeshaji? ni uhuni tupu

Iko namna ya kuzuia Mbowe kwenda jela wadhalimu wakikamia? Kama hakuna, basi wasirahisishiwe njia ya kumfunga bila kupitishwa kwenye aibu yote ya dhambi wanayoilazimisha. Kesi yote isikilizwe hadi mwisho.

Mandela alikaa jela miaka 27 akatoka na heshima kubwa sana. Sio la kuombea; ni ikitokea hivyo.
 
Kama unayosema Yana ukweri nenda mahakamani kasaidie upande wa ushaidi wa jamuhuri, maana mpaka sasa wanahangaika kushawishi watz na ushaidi dhaifu sana
 
Pointi kubwa sana, kama wamedhamiria kumfunga, kugomea kujitetea ni kuwarahisishia.
 
Kama unayosema Yana ukweri nenda mahakamani kasaidie upande wa ushaidi wa jamuhuri, maana mpaka sasa wanahangaika kushawishi watz na ushaidi dhaifu sana
Mama wa mbege anasema wakati wa kuwakamata walikuwa wanakunywa bia na kusajili line. Mahita anasema walikuwa wanatembea kuelekea upande wake..... haiwezekani Kama Wànasema ukweli wakatofautiana namna Ile...this is not minor variation
 
Wewe acha upumbavu, akili zako ziko nyuma Kama nyuki, tumia kichwa Cha akili kujibu hoja siyo makalio Kama nyuki kuuma adui.

sasa mbowe alipoenda Dubai alitoroka au alipita wap? Na aliporud aliingilia wap? Kwa hiyo uchunguz wa serikali ulikamilika siku ya mbowe kuaandaa kongamano?

Mahakaman kila kitu mawakili wakisema, Jaj anauliza kwa kifungu kip, lakin yy Jaji alitoa hukum ndogo eti kwa maoni yake yaan et kwa maoni yangu..... Huoni apo ni tatizo?

Mashahid wanavyo jikanyaga, kama yule aliyesema kwamba alikaa kikao na mbowe Moshi, bila kujua tarehe na mwez huo mbowe alikuwa ndan kwa kufutiwa dhamana...!

Arafu unakuja hapa eti unajifanya unaelewa makosa yake eti tuulize ubaloz......, Kwa hiyo wewe umepata data ubaloz? Malaya mkubwa wewe, mabaya mnayo ombea wenzio yatawatokeen mpaka ufiwe na vifamilia vyenu. Pumbavu
 
Ndugu yangu wewe ndio umeongea point.kama inawezekana kuomba mwenendo wa kesi,hii itasaidia kujua muelekeo upoje.Binafsi huyu simuelewi bora yule Siyani alisikiliza vizuri japo alizingua kwenye maamuzi ya kesi ndogo.Ni bora kujitoa na msimamo uwe ni kukosa Imani na mahakama
 
Ktk kususia kesi ni jambo la khatari zaid
 
Labda nikuulize kitu kidogo,wewe kwa uelewa wako kila aliyefungwa Mahakamani (kesi ilisikilizwa kama inavyotakiwa) ni mhalifu?Mh.Rais alikiri uwepo wa kesi za kubambikwa,we unadhan wanaobambikwa ushahidi hukosekana?Hata ushahidi huwa unapikwa.Kwenye kesi hii ya Mbowe mashahidi wenyewe wanapingana kuashiria kuna uongo
 
Dogo mbna unarudia ngonjera hzhzo tu
 
Naunga mkono hoja
 
Pole mjane wa mwendazake
ninge kuwa mfuasi wa mbowe, ktk kipindi hiki kigumu ningemshauri atubie sana maovu yake aliyo yatenda yanayo julikana na yasiyo julikana, maana huenda hii ni saaa ya malipo kwake kwa uovu alio watendea wengine.
 
Kesi za kisiasa huwa hazina nguvu..hata wakimfunga mbowe hawatazima vuguvugu la katiba mpya.
Watanzania wa leo si wa mwaka 77. Kesi hii inazidi kuishushia heshima CCM ndaji na nje ta nchi.

Hakuna mtazania youote hata mwana CCM ambaye hajui kwamba hii kesi ni ya kunambikiza.

Chama kikongwe kinashindwa kujibu hoja kinakimbilia kumbambikiza kesi..ni kufirisika kisiasa.
 
Nakumbushia tu ndugu zangu,week takribani mbili zilizopita mlipiga zenu konyagi na kushangilia mitaani na mitandaoni baada ya sabaya kula 30yrs,Tena mkapongeza mahakama hizihiz.Baadhi ya wadau waliwakumbusha,Mahakama hizihizi zinazotoa hukumu za kina sabaya nanyi mkafurahi KWA vifijo na nderemo,Ndo hizo hizo hutoa KWA wengine.

WAZEE NCHI NGUMU SANA HII,WATU HAWAELEWEKI WANACHOKITAKA.
 
Kumbe unajua Ben saa Nane Yuko kuzimu hii dhambi itakutafuna vibaya mno huna hata huruma wazazi wake na ndugu zake wakiona ulichokiandika duu mungu anakuona hebu jaribu kuvaa viatu vya familia ya Ben saa Nane lazima vikupwaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…