Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

Straight forward people huwa hawana hizo lugha zenu za kidiplomasia. Tumvumilie tu!
 
who the heck is hayati ?
 
gentleman, mapenzi yako kwa CCM n makubwa
 
Kwa upumbavu wao, mazafakas wa Serikali ya CCM wamempa Lissu jukwaa maridhawa kabisa. Safari hii watavuliwa nguo zote!
 
Kwanini unataka apambwe?
 
Bora tunafunguliwa macho kumbe ukiambiwa una kesi ya kujibu jitetee ndo inavyokuwa tulizoea kusema nina watoto sita wananitegemea🤔🤔
Hahaha. Ile ni ukikutwa na hatia. Kwa kimombo inaitwa mitigation. Mitigating factors ndo kama hizo. Nina familia, Hali ya afya, kosa la kwanza, etc. Lengo la mitigation ni kuomba kupunguziwa adhabu (sentence). Baada ya utetezi kumaliza ushahidi wao itafanyika final submissions. Then majaji wataamua akikutwa na hatia ndo inakuja hiyo stage unayoisema.

Lissu nadhani hatamuangukia mtu hata akikutwa na hatia.
 
Hawezi kujitetea nahisi atafurahi kupata hiyo fursa ya kupanda hyo mbegu ya ukombozi hata asiponyongwa kweli
 
Hahaha 😂
Ningekua yeye ningejikita kwenye uhaini. Lakini sijui kwanini Lissu kaamua kujitetea mwenyewe. Hiyo case ni nzito na tena ya uonevu. Angekuwa na wakili wake kwa maoni yangu angejitetea vizuri zaidi.

Anaeleza historia yake mwenyewe
Duh huyu baba alianza kutetea haki kabla wengi wetu hatujazaliwa.

Viva TAL.

Tuulize sisi Wachonga
 
gentleman, mapenzi yako kwa CCM n makubwa
nawapaenda sana waTanzania wenye nia njema na wivu mkubwa na Taifa hili gentleman,

hawa vibaraka wanaotumiwa na mabwenyenye ya maghariabi hawana maana yoyote kabisa aise
 
Kwani ni uongo hakutaka kumuua Lisu?
 
nawapaenda sana waTanzania wenye nia njema na wivu mkubwa na Taifa hili gentleman,

hawa vibaraka wanaotumiwa na mabwenyenye ya maghariabi hawana maana yoyote kabisa aise
dalili ya kukata pumzi ni " vibaraka wanaotumiwa na mabwenyenye ya maghariabi" hv nyie machawa hua mnaona wazungu wanatuonea sana wivu sisi kwa KIPI?

shenzi sana
 
Ahsante Sana mkuu Manyanza nimefuatilia kuanzia mwanzo mpaka mwisho ,nimesoma mpaka Nukta ubarikiwe Sana Kwa hii live.

Nasikitika kuna baadhi walikuwa wanatuharibia live yetu, mtu anasema hafuatilii kesi na Hana Muda huo lakini Uzi mzima zinajaa comments zake .

All in all ni democrasia Acha tuvumilie Leo pia tumepata darasa la bila malipo MUNGU MBARIKI LISU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…