Sauti ya Siha
Member
- Aug 12, 2025
- 70
- 151
Mkuu usiwe bongo lala hapo hajitetei anahutubia taifa na dunia kijanja hiyo ndio siasa kama ulikuwa hujui.hapo sasa tunajua Mh Lissu ni nanii kwenye hili taifaokay,
anawataja hata ambao hawamjui na wala hawasaidii chochote kwenye kinachomkabili, dah.
kifo cha nyani ni cha fedheha sana aise, miti yote huteleza π
kabla ya hukumu ya kwenda jela na kunyongwa hadi kufa right?πMkuu usiwe bongo lala hapo hajitetei anahutubia taifa na dunia kijanja hiyo ndio siasa kama ulikuwa hujui.hapo sasa tunajua Mh Lissu ni nanii kwenye hili taifa
Nakataa.Mwanasheria uchwara, na wakili manyau nyau.
ππππ
Sio kweliHuyu Mburula tuu,hajui chochote!
Labda sheria za kichawa. Mwanasheria wa kweli hawezi kuwa hopeless hivi
Nilikua sioni utetezi ukilink na treason. Lakini nimeeleweshwa tayariMkuu mbona kama unajiaibisha, hujui kama ana Lay Ground na Foundation juu ya mashataka haya?
Huu ndio utetezi wenyewe tena Konki wenye ushahidi uliobobea, sio ule utetezi wa kusema Mimi sikufanya, Mimi sikufanya mnanioneaπ€£π€£
Kwani hakuna mawakili wazuri ?
Huyu Mburula tuu,hajui chochote!
Well, let's goNilikua sioni utetezi ukilink na treason. Lakini nimeeleweshwa tayari
HahahaSasa mawakili wenyewe ndo wewe bora ajitetee yeye binafsi tu.
Khaaah
Mnapenda utaniMwanasheria uchwara, na wakili manyau nyau.
ππππ
Nimekuambia ukae kimya. Umesema hufuatilii hiyo kesi kinachokuleta huku ni Nini?muerevu tuliza mihemko,
mbona mtuhumiwa mwenyewe pamoja na kueleza vitu nonsense hana mihemko?π
Hahaha. Sheria za kichawa ni zipi hizo? Lissu Kuna vitu anakosea lakini mashabiki zake mnamuona perfect. Lissu is inherently arrogant. Ndivyo alivyo hata akiwa anawafanyia cross examination mashahidi. It's my prayer case hii iishe vizuri kwa Lissu kuachiwa huru.Labda sheria za kichawa. Mwanasheria wa kweli hawezi kuwa hopeless hivi
Sio Njaa, Mwanasheria Mburula!Kwa hivyo Mimi ni mwanasheria njaa?
kama wewe ndie mfuatiliaji basi kibaraka anakwenda kushindwa na kuhukumiwa kifungo jela na kunyongwa hadi kufa mapema zaidi πNimekuambia ukae kimya. Umesema hufuatilii hiyo kesi kinachokuleta huku ni Nini?
dah!TUNDU LISSU ANAENDELEA KUJITETEA
SEHEMU 14
Taarifa ya waangalizi wa kimataifa baada ya 1995 walisema katika taarifa yao kuwa pawe na mabadiliko ya Kikatiba kuifanya Tume ya Uchaguzi iwe Tume Huru ya Uchaguzi, ili matatizo ya 1995 yasijirudie tena, kwa mujibu wa ripoti ya Commonwealth, EU na watazamaji wa ndani ambao walikuwa ni TEMCO, wakijumuisha viongozi wa dini na NGOs.
Magufuli amewafutilia mbali.
Serikali ya Rais Mkapa ilikataa na CCM ikakataa.
Mkapa akaunda Tume ya Jaji Kisanga kuchunguza matatizo ya Kikatiba.
Tume ya Jaji Kisanga wakapendekeza mabadiliko ya Katiba ya kurekebisha matatizo ya uchaguzi.
Mkapa akakataa na CCM ikakataa.
Tukaenda uchaguzi wa 2000 na Tume ileile, matokeo yake maafa yakatokea Pemba.
Kwa mara ya kwanza tukawa na wakimbizi Zanzibar.
Kule Zanzibar ikaja Tume ya Kimataifa.
Mwaka 2003, Mkapa akaunda Tume ya Jaji Mark Bomani, ambayo nayo ilipendekeza Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi.
Waheshimiwa Majaji, Jaji Mark Bomani alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa kwanza.
Mkapa akakataa na CCM ikakataa.
Badala yake, Mkapa akampendekeza kuwa katika Tume ya Uchaguzi. πππ
Akanogewa. Mwaka 2005, Jaji Mark Bomani, na yeye akiwa Tume ya Uchaguzi, akachukua fomu kugombea Urais ndani ya CCM.
Wenzie wakamwambia, βEboooooo, wewe si upo Tume ya Uchaguzi?β Ikawa aibu tupu.
Mkapa kaondoka, akaja Kikwete, na Kikwete alipoingia tu, CHADEMA ikaanza kuwa na nguvu.
Tukaenda kwenye uchaguzi wa 2010 na Tume hii na Katiba hii, yakatokea maafa tena Zanzibar.
Kikwete alipoingia 2010 akasema lazima tumalize kelele za Katiba mpya.
Na mimi nilikuwa Bungeni mwaka 2010. Tulikuwa wachache sana, ila tulifanya kazi kubwa sana.
Kikwete akaunda Tume ya Jaji Warioba.
Ndiyo ikafanya kazi kubwa sana.
Mzee Warioba amefanya kazi nzuri sana. Ndiyo maana hawampendi Jaji Warioba; amesimama kidete yule mzee.
Tunaelekea katika uchaguzi, CCM wakavuruga mchakato wa Katiba mpya.
Kikwete akasema twendeni kwanza katika uchaguzi Mkuu.
Kwa hiyo tukaingia mwaka 2015 na Katiba hii hii na Tume hii hii, ndiyo tukampata Magufuli na Samia.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
NISAIDIE KUSHARE UJUMBE UFIKE MBALI
Sio kweliSio Njaa, Mwanasheria Mburula!