Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Mwanzo tu jaji kauliza nani ataanza kuwasilisha,Lissu katoa muongozo kupitia kifungu😂.
Ina maana refa hakujua hichi kifungu na kuelekeza fulani aanze kwa kuzingatia utaratibu /kifungu hicho?
Nimesoma icho kipart mwanzoni kabisa mahakama inafunguliwa ikabidi nicheke aisee.

Sijui jaji aliuliza makusudi sijui nae ni anakuwa hajui😀
 
Manyanza leo kalale kabisa mahakamani 😆😆

Lkn kesho tunapokea Uzi wa Waufukweni tu✅️

Lkn sisi wapenda Haki
tunataka alete mwengine hasio na Upande 🫎🫎

Waufukweni yupo vizuri sana upande hana✅️

Yupo Kidemokrasia
zaidi💪
Sio Manyanza anaweka na utashi wake ❌️

Kasahau Jamii forum ni familia kubwa wapo wengine wanataka
Maelezo ya Mahakamani tu sio
Mawazo yako ya ki🫎🫎

Ile lini kuna vipande
hakuweka❗️❗️

Naungana na wangine wenye kupigania Haki ya Wasomaji wa Jamii forum wasio na Upande wowote ✅️
Waufukweni ndio Suluhu ya Haki✍️
 
Nonsense Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…