Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Yaani wanakera kinoma sijui wapoje ?
JamiiForums musiwe mnajiamulia mambo mnakera sana aisee.
 
Yaani wanakeraa sanaa hawa wapuuzi.
Wananichefua mie hapa, aaah
 
Moderators nao wanaonekana kama wana wivu au chuki fulani hivi. Kwani ni sheria kuwa mtu hawezi kufungua threads mbili tofauti zenye kitu kimoja?
Huwa nashangaa sana, afu cha ajabu sasa hao wanaowahi kuweka uzi, wanapotea wala hawapo mahakamani, sijui wanapata nini yaani.
Mie wananichefua kwa kweli.
 
Hapana anzisha mwingine mlongo wakiunga na huo, nawajia na uzi wa kuwasuuza na kuwaosha toka mello hadi wafanyakazi wake uchwara..
Hatuwaogopi wala nini. Mxxxiiieeew zao hawa.
Nilianziaha uzi mwingine kuweka majumuisho ya Lissu tu, nashangaa wameunganisha tena. Sitaki kuweka tena update, hawaheshimu wateja wao hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…