Mimi naomba vitu vifuatavyo:-
Anuani ya makazi ya Katuga
Picha ya mkewe na sehemu anafanya kazi
Picha za watoto wake na shuke wanazosoma, nipatiwe vitu hivi katika muda wa masaa 24 na wote mtafurahi.
Mawakili wa hapa na pale 😊Job Mrema: “Wewe kama mwanasheria...”
Lissu: “Waheshimiwa Majaji, mimi ni shahidi wa facts. Akihitaji kuzungumza na mwanasheria, aandae mkutano pembeni.
😄😄😄😄
Hawa Mawakili wepesi sana na hizi mbinu zao ni za kitoto sana
Mbona sisi hatuhoji nchi kuongozwa na mama mtoto na mkwe wakeSasa kosa lake lipi kwani yeye ni JAJI
Badala ya kuoji Chadema kuongozwa na na MTU NA SHEMEJI YAKE
Unataka kujua ya Katuga 🫎🫎🫎
🤣🤣🤣🤣Elimu mbali mbaliMawakili wa hapa na pale 😊
Kasheshe 😅🤣🤣🤣🤣Elimu mbali mbali
Aisee😃Lissu hajatukanwa badala yake ni yeye ndio anatukana
Sasa Katuga kosa lake lipi kumfanyia Dodoso Shemeji yako au🫎🫎🫎
Wameshindwa kabisa.Jamhuri inadhalilika🤣🤣 TAL mtu makini
Tanganyika tunahitaji viongozi wenye kaliba hii kwa maendelea ya vizazi vyetu
Kwa akili zangu na upeo wangu huwa nikiona mtu kanizidi kete dawa huwa ni kukubali tu yaisheKasheshe 😅
Nimependa Lissu alivyomkatiza kwa kumwambia yeye ni shahidi wa facts za kesi sio mijadala ya sheriaTUNDU LISSU ANAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI
Job Mrema: “Nauliza kwamba hukuchukua hatua juu ya amri ya Mahakama yenyewe?”
Lissu: “Sikuchukua hatua kwa sababu nipo gerezani.”
Job Mrema: “Mashahidi ambao wamepata ulinzi unawakumbuka?”
Lissu: “Nawakumbuka majina bandia, lakini siwajui sura zao. Majaji hawawajui. Nakumbuka herufi P na sijui nini.”
Job Mrema: “Wewe kama mwanasheria...”
Lissu: “Waheshimiwa Majaji, mimi ni shahidi wa facts. Akihitaji kuzungumza na mwanasheria, aandae mkutano pembeni.”
Job Mrema: “Katika ushahidi wako, moja ya hoja ulieleza Mahakama hii kwamba tarehe 12 Agosti 2024 ulipata kipigo mahali.”
Lissu: “Mahali gani?”
Job Mrema: “Ulisema Mbeya.”
Lissu: “Nilisema tarehe 11.”
Job Mrema: “Ni sahihi kwamba katika ushahidi wako hakuna kitu chochote ulichotoa kama kithibitisho kwamba ulikula kipigo?”
Lissu: “Waheshimiwa Majaji, kwa mdomo, ila kwa karatasi hapana.”
Job Mrema: “Kuna hoja nyingine kwamba tarehe 23 Septemba 2024 ulivamiwa na Polisi, na huutoa uthibitisho chochote?”
Lissu: “Waheshimiwa Majaji, nilieleza kwamba tarehe 23 Septemba 2024 nilivamiwa na Polisi, wakanitembeza kote. Baadaye wakanipeleka Mbweni, baadaye wakanirudisha kwangu.
Sikutoa chochote zaidi ya hayo maelezo.”
Job Mrema: “Ulisema umetoa watu 466 katika magereza tofauti tofauti?”
Lissu: “Ndiyo, nilieleza. Sikutia chochote.”
Job Mrema: “Ni sahihi kwamba tarehe 09 Aprili PW1 Bagyemu alifungua kesi ya uhaini?”
Lissu: “Ndiyo, alivyosema PW1 mwenyewe.”
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE
Itoshe tu kusema kuwa wewe ni mpumbavu.Sasa kosa lake lipi kwani yeye ni JAJI
Badala ya kuoji Chadema kuongozwa na na MTU NA SHEMEJI YAKE
Unataka kujua ya Katuga 🫎🫎🫎
Kwamba hujui kama hapo wapo kazini?Kwa akili zangu na upeo wangu huwa nikiona mtu kanizidi kete dawa huwa ni kukubali tu yaishe
Sasa nikiangalia hawa mawakili wa serikali wanavyopelekeshwa na mtu mmoja natamani nipate nafasi ya kuonana nao niwaambie mbele ya lissu mmeshapelea
Huyo dereva akifa moja kwa moja peponi, kwa ushenzi waliofanya hawa hayawani 29.10.2025 hawastahili kuishi hata dakika moja.Mkuu una agenda gani na katuga?
Juzi tu kuna dereva kapita na polisi wawili shwaaa
Hawewezi sababu maza hataki majibu tofauti na TAL hakutwa na hatiaKwa akili zangu na upeo wangu huwa nikiona mtu kanizidi kete dawa huwa ni kukubali tu yaishe
Sasa nikiangalia hawa mawakili wa serikali wanavyopelekeshwa na mtu mmoja natamani nipate nafasi ya kuonana nao niwaambie mbele ya lissu mmeshapelea
Hizo taarifa nilizoomba ndiyo vitendea kazi vyenyewe.Akusaidie nini ? Vitendea kazi au address ya makazi ya Wakili Mkuu wa Serikali?
mh basi bado safari ni ndefu kwa huyu mtuHawewezi sababu maza hataki majibu tofauti na TAL hakutwa na hatia