Punguza uchawa Mbowe. Mbona mahakimu wanashtakiwa vizuri tu na wengine huondolew kazini. Tangu upigwe chini kwenye uchaguzi umekuwa upande wa giza.Hahahahaha kesi wapi? Hahahahaha Ila nyie watu mahayawani sana wa akili!
Kwani Magu aligombea urais na nani? Unauliza maswali kama vile watu hawakuwepo. Lissu alirudi akapambana na Magufuli kwenye urais .Mbona hakurud kipind cha magu kma ni kwake
Wewe unaropoka tu. Usipende kuitaja CHADEMA kwenye ujinga. Makonda alipingwa na kauli ya Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje kwamba haipingi mambo ya ushoga, ndipo makonda akapotea tangu siku hiyo. Halafu usisahau ni CCM ndio walimkataa Makonda ubunge wa Kigamboni.Makonda alikua ana pambana nao mpk kuwakamata.
Badala ya kumuunga mkono chadema mkawa mnamshambulia makonda
Wafunguliwe kesi wapi umesema? Maana zingatia hilo hahahahahaha Ila Lissu kazungukwa na mapumbavu sana aisee 😂😂😂😂😂Wewe mvuta Bangi kwani hujui kuwa hakuna aliye juu ya sheria, hao mahakimu wako wanaweza kufunguliwa kesi kwani wao ni wakosaji kama wewe ibilisi mtekaji
Pelekeni kesi mahakama kuu ukatoe ushahidi. Si na utambulisho mmekubaliwa kufichwaMchamungu 😆😆angetishia amani ya taifa
Mchamungu angetetea haki za ushoga
Mchamungu angeleta maneno ya hovyoo
Nyie watu mkoje
Kwanini umeweka na comments mkuu 🤣Chawa wa Mama analeta upotoshaji, kesi hafuatilii anakurupuka kwa kuleta vitu vya jana
View attachment 3440011
Mbinu hiyo ya kusogeza mbele siku.Huyu hakimu ni kibaraka. Kwanini asitoe amri leo? Atatoaje amri siku ya commital?
Aliyeshangilia kifo cha Magufuli ni Samia jiulize kwanini kauza bandari na kurudisha wezi wote CCM?Akome kabisa alishangilia kifo cha Magufuli akidhani atakula rahlia.
Bora anaye tubu hata wewe kumbe ukitubu dhambi zako dk 20 kabla ya kifo Mungu hukusame dhambi zakoM
Asa mbona mnanchukia rais alierudisha democracy na kuwatoa wahuni wote waliokua kwenye genge la magu?
Saiv pole pole mnamuona mzalendo akat nae alikua kwenye hilo genge
Ndio maana nasema nyie hamna jema.
Heri magu alivokua anawanyoosha maana hamjielewi
Kwa mtu anayejua spiritual realm utagundua kuwa hakuna kitu kinazaliwa pasipo uchungu. Kama ni Mkristo ukiona unapita kwenye moto na mateso ni sauti ya Mungu kukuambia omba ili niintervine. ndo maana alipoona kanisa haliombi aliamua na wao wapigwe au kuuawa ili kuwalazimisha waombe maana MUNGU anataka kufanya jambo lakini anaona hawaombi so analazimisha. hata hili la LISSU MUNGU analeta haya ili watu wamwombee zaidi na kuliombea Taifa, maana yanayoendelea kwake ni picha ya yanayoendelea kwa watanzania wote wa kawaida, hakuna wakati amboa watu wanaombea Tanzania kama kipindi hiki. Mungu atatokea kwa ghafla ni kuiokoa TanzaniaLissu tunakuombea. Our God free this man.
Habakuki 1; 2 Ee Bwana, nilie hata lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa. 3 Mbona wanionyesha uovu, na kunitazamisha ukaidi? Maana uharibifu na udhalimu u mbele yangu; kuna ugomvi, na mashindano yatokea. 4 Kwa sababu hiyo sheria imelegea, wala hukumu haipatikani; kwa maana watu wabaya huwazunguka wenye haki; kwa sababu hiyo hukumu ikipatikana imepotoka. 5 Angalieni, enyi mlio kati ya mataifa, katazameni, kastaajabuni sana; kwa maana mimi natenda tendo siku zenu, ambalo hamtaliamini hata mkiambiwa. 6 Kwa maana, angalieni, nawaondokesha Wakaldayo, taifa lile kali, lenye haraka kupita kiasi; wapitao katikati ya dunia, ili wayamiliki makao yasiyo yao.Kwa mtu anayejua spiritual realm utagundua kuwa hakuna kitu kinazaliwa pasipo uchungu. Kama ni Mkristo ukiona unapita kwenye moto na mateso ni sauti ya Mungu kukuambia omba ili niintervine. ndo maana alipoona kanisa haliombi aliamua na wao wapigwe au kuuawa ili kuwalazimisha waombe maana MUNGU anataka kufanya jambo lakini anaona hawaombi so analazimisha. hata hili la LISSU MUNGU analeta haya ili watu wamwombee zaidi na kuliombea Taifa, maana yanayoendelea kwake ni picha ya yanayoendelea kwa watanzania wote wa kawaida, hakuna wakati amboa watu wanaombea Tanzania kama kipindi hiki. Mungu atatokea kwa ghafla ni kuiokoa Tanzania
AiseeeAkome kabisa alishangilia kifo cha Magufuli akidhani atakula raha.
Maswa Yetu anaelewa kweli hii?Hata Magufuli aliyempiga risasi na akazuia uchunguzi usifanyike (najua utauliza una ushahidi? Kichwa kama papai) na Ndugai aliyemnyima stahiki za matibabu na kumfukuza bungeni Kwa kusema hajui alipo, wakati aliahidi kuhakikisha anapata matibabu na Kwa confession ya mama tibaijuka, ni kuwa maagizo yalitokq Kwa jiwe! Hao wote niliowataja na mkuu wa Utumishi wa umma wa wakati huo wote wako kwenye ardhi wanaliwa na mchwa!
The legend is still living!