Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blaza si tayar una uzi mpya tu,kuhusu hii mada.Ungeendelea na ule.Uvutaji wa bangi ni kosa linalokupeleka jela lakini nawaonea huruma watu wanaojiongezea matatizo kwa kuvuta uchafu
Binafsi nimeshashuhudia baadhi ya watu ninaowajua walioanza kuvuta bangi, kwa sasa baadhi yao madishi hayajakaa sawa, kisakolojia hawapo vizuri, wengine maisha yao yamekuwa magumu sana, wengine walikuwa wanafanya vizzuri darasani ila baada ya kuvuta mambo yakawa mabaya, n.k.
Uhalisia ni kwamba kuvuta bangi hapa nchini ni heri utafute starehe nyingine tu, watu wanapata mihemko ya kuanza ama kujaribu kuvuta bangi wakidhani wanavuta bangi lakini kitu wanauziwa mbuzi kwenye gunia tena mbaya zaidi hata hawajui wameuziwa mbuzi, wao watatumia bidhaa wakizani ni orijino.
Ni nadra sana, narudia tena,,,ni nadra sana kukuta sehemu hapa nchini wanauza bangi, sehemu nyingi sana utaikuta bangi ya jero ambayo ni kiwango cha chini sana hakina utofauti na makapi.
Madhara ya kuvuta hizi bangi kwa mara ya kwanza ni kwamba akili yako itabinuliwa, kwa hapa nchini ni kawaida sana kusikia fulani siku ya kwanza aliyovuta bangi alikuwa anakimbia mawingu, kuona nyau kama simba, kucheka kama kichaa, n.k ushahidi wa hizi simulizi ni nyingi sana na ushahidi tosha hapa kwetu watu huvuta uchafu. na sio kilevi.
Mtu anawza kuvuta hata mara 3 akakwambia hahisi kitu hapo ujue kauziwa uchafu unaoenda kupindua akili.
SIFA ZA BANGI KAMILI NI HIZI, NJE YA HAPO TAFUTA STAREHE NYINGINE AMA JICHANGE NAULI UENDE KUVUTA NJE.
Rangi - rangi yake huwa ina ukijani flani ulioiva ukiona bangi ni tofati na hapo hasa ikiwa imefifia sana au kugeuka kuwa brown achana nayo.
Iwe imevunwa na kutumika ndani ya mwezi - Baada ya kuivuna inabidi itumike ndani ya mwezi, Weng huwa wanauziwa ambazo zilibunwa miezi hata mitatu iliyopita
Harufu - Kuna harufu ya kuijua bangi inayofaa kwa matumizi na ile ambayo haifai aidha ni mbichi, imekomaa kupita kiasi, imeunwa miezi mingi iliyopita n.k. kama huwezi kujua hizi harufu tafuta starehe nyinine.
Mnato - Bangi inayofaa kwa matumizi huwa ina nata nata, isiyofaa hainati
Ukavu - Bangi ikiwa kavu sana hio sio nzuri kwa matumizi tupa kule.
Kusagika - Bangi ambayo haifai huwa mekauka sana, ukiiminya inavunjika bunjikaharaka kama nyasi kavu na inasagika kwa urahisi, achana nayo
Mbegu + vijiti - Ukiona bangi ina vimbegu na vijiti vingi piga chini
Skanka ya mswati hii
Sijajinyonga. Mods inaonekana hii kitu wanapiga aisee. Ni kama ule uzi kule jukwaa la intelligance unaoenda kwa jila na ijue nguvu ya physcidelic drug. kuna nondo mle hatari tupu. Mambo ya Ahyausca na vitu kama hivyo.Umeshajinyonga????
ni PM mdauTatizo humu kila mtu TSS
Acha unafiki mtoto wa kiume.
Mods wenyewe baadhi wanavuta.
Unajifanya mlokole unafikiri ndio utaenda mbinguni.
Ah wapi halafu uniletee wazeeni PM mdau
Ungekuwa mtwara ningekurengesha kwa mhindi fulaniMi natafuta Cookies marijuana kwa ajili ya mpenzi wangu mdutch..hapa Darbntapata wapi likizo hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
daah! poa mdau, peace be upon you.Ah wapi halafu uniletee wazee
Niliwahi kuvuta bangi kwa Mara ya kwanza maeneo ya Pagwi ( kilindi) sikuona mabadiliko yoyote katika mwili wangu kama inavyoelezewa, Leo ndo nimeelewa kupitia wewe, cause yenyewe ilikuwa na rangi kama ya hio high gradeView attachment 2068813
Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga
Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, katia wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. Ni nadra sana kukuta sehemu wanauza high grade
Wengi wakivuta siku ya kwanza watalia ni vipofu kumbe wamesahau kuwasha taa, hukimbia mawingu, hubeba toroli badala ya kusukuma, hutukana ovyo ovyo, n.k. hii ndio gharama ya kuigiza uchafu kichwani
Ukizoea sana kushabu tayari wewe kichwa panzi, unaweza kuwa kichaa kabisa
Wanaokula kushabu ni masikini wanaoshindwa kupata grade one aidha hawana pesa au hawana maarifa ya kujua viwango wao wanavuta ilimradi iwe bangi tu.
Usije kujidanganya kwamba bangi unayovuta hapa kwetu ni sawa ya wanayovuta huko Marekani, Jamaica, n.k. huko watu wanavuta bangi na sio uchafu ndio maana huji kusikia mtu kawehuka, sijui akili zimemtoka, ana ropoka ropoka, n.k. Kazi ipo huku ambako hata wakulima wa bangi kwenye uvunaji hawajui mbinu za kuvuna vizuri wao wanakurupuka tu, nae muuzaji anaenunua kwa wakulima hata hana elimu ya huu mmea yeye anauza tu ilimradi apate pesa, nao wanunuzi ndio wahanga wakubwa hawajui hata kama wanauziwa kushabu matokeo yake ndio haya mnayoyaona mtu akivuta bangi siku ya kwanza ha tofauti na mwehu, nadhani hata kina afande sele wanavuta kushabu wakijinadi kwamba wanavuta yenyewe matokeo yake ndio kuvua nguo kwenye steji na vituko vingine kibao ambavyo huwezi kuja kuvisikia huko nchi ambazo hawavuti kushabu.
Hio unaipata shambani kwa kuchuma yale majani mateke teke ( ambayo yanaanza kuchipua)Umeongea kweli tupu na hiyo ndo sababu iliyonifanya niache bange Sasa mbona hujatoa connection hiyo grade one twaipata vipii...???
Mkuu tafuta kwenye bakery zipoMi natafuta Cookies marijuana kwa ajili ya mpenzi wangu mdutch..hapa Darbntapata wapi likizo hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure mzee mm nakula skunk ya swazi tena iyo wanayoit high grade kwanz iyo sio high grade high grade mnaijua nyinyi africa hmn strain y high grade nenden calfornia hkun high grade nzur kutok bush weed bush weed n bang zinazoteshwa kwny ardhi nje dawa safi zile hybrid strains hp bongo kun jmaa mmoj tu confidental anauz 60,000 gram 1 km ile mnaoit high grade mnaoziwa 2000 sasa kile kimoj 60,000 kun makchero weng hum jumpl njema kifup izo high grade alizosem n indica utalala san🤣 bora kushabi y moro m sativa itakup energyBangi bangi tu. Me majamaa zangu wangu wa mbezi wakivuta Sana skanka Ila sijaona jipya Zaid inaleta usingizi tu Tena ile ya purple ..Haina maajabu ya kushangaza ujanja TU wa watu
Jifunze kunyonga mwenyewe ukizoea kutolewa kitu siku utavutishwa unga bila kujuaa na usizoee kugongea kitu kwa usiowajuaaSawa lakini ikiwa genuine hata ukitumia karatasi uta enjoy tuu Kama unazungumzia Kiko ni kwa ajili ya kuweka kiasi kingi kuepuka usumbufu wa kunyonga Mara kwa mara na kumbuka kunyonga kunataka utalaam binafsi licha ya kuwa mvutaji kunyonga sijui.
Hata mi' nimemshtukia. Au atakua anazingua watu tuchekeWewe sio mwera kweli....[emoji44][emoji44][emoji125][emoji125][emoji125]