Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Mungu awapumzishe kwa amani hao wajukuu na imenigusa kweli!Ila huyo Diwani afe tu shenzi type,tunahesabu 3 hao mpaka sasa!Dah, pole kwa wafiwa wote. Marehemu wapumzike kwa amaniš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu awapumzishe kwa amani hao wajukuu na imenigusa kweli!Ila huyo Diwani afe tu shenzi type,tunahesabu 3 hao mpaka sasa!Dah, pole kwa wafiwa wote. Marehemu wapumzike kwa amaniš
Leo tena...
Kamanda wa Polisi Pwani, Wankyo Nyigesa amethibitisha kuwa Diwani Mteule Kata ya Kikongo Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili wamekufa baada ya nyumba yake kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo.
Huu mfumo tunaoingia wa chama kimoja, Mungu atulinde.
Diwani mteule Kata ya Kikongo Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili wamekufa baada ya nyumba yake kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo, Kamanda wa Polisi Pwani, Wankyo Nyigesa amethibitisha. #MwananchiUpdates
Tanzania tunakoelekea ni giza nene.
Sad. Watanzania tumefikishwa hapa!
Poleni wafiwa. Watanzania tumeingizwa kwenye tanuru la moto kwa uchoyo wa mtu mmoja.
Wana tafuta justification uharamia walioufanya Zanzibar na Tanzania bara.
Na wewe umekosea mkuu, sio "kupigwa bunduki" Ni "kupigwa risasi"Mkuu umekosea kiswahili kidogo, kuuawa maana yake ni mtu anahusika kuutoa uhai wako mfano kupigwa bunduki ,kupigwa mawe nk,kwa huyo diwani kafariki kwa ajari ya moto
Anako tupeleka dah Zimbabwe cha mtoto.Jiwe anajitayarishia mazingira magumu mno sasa.
Na watu waroho wa madaraka,huko waliko wanafurahia tu wanakula na kunywa bureSad. Watanzania tumefikishwa hapa!