Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

HAHM nikitu gani
 
CHAWA wapo kila chama kilichopewa usajili pale ofisi ya msajili. Waliokuwa wanaimba nyimbo za hamasa kila siku Mbowe alipokuwa akipelekwa mahakamani, akija kupata cheo kikubwa hawatakuwa CHAWA kweli!?.
Sikatai hilo, ila wa kwenye chama tawala wamezidi mno!!ili kupata teuzi, na kufaidi keki ya taifa.
 
Ni mwanzo mzuri sasa tunakoelekea siasa za utu.
Kwani yule shetani alikuwa anatupeleka siko kabisa!!siasa za kinazi/interahamwe, ndio ziliingizwa hapa!!na chawa wale wale ndio sasa wanamuimbia Mama!!jingine juzi linasema eti mama anaupiga mwigi kwani awamu ya 5, mabenki yalikuwa hoi!! Ila wakati ule alikuwa anasifu jinsi uchumi unavyokuwa kwa kasi kiasi ambacho hakijawai tokea toka dunia iumbwe!!
 
Kwanini usianzishe chama chako then ukafanya siasa za aina uitakayo kuliko kulialia hapa jukwaani?
 
Kumbe na mbinguni kuna siasa?!!nilikuwa silifahamu hilo!!
Unafikiria kama USA, kusingekuwa na siasa za kistarabu na watu wanaojitambua na sio misukule kama hapa Afrika, trump angeachia madaraka?
Alitaka kuleta siasa za kina JIWE, MSEVENI, KAGAME, MUGABE, kwa jamii iliyostarabika??na wale wahuni wake sasa hivi wengi wao wako jela tu.
Huyo PM, wa Uk, ameponea chupuchupu tu kupigwa chini kisa kukutana watu wengi pamoja kwenye kipindi cha lock down, hapa Afrika hiyo nayo ingekuwa inshu?!!
 
Wamuulize katabi akiwa bamvicha alikimbia pale Sinza kipindi cha changia Damu Tindu lisu alijikuta yupo mwenyewe
 
Thread mzuri sana kwa ajili ya ustawi na afya ya taifa letu.

Lkn kwa hatua hii mzuri sana kwa maendeleo ya taifa letu kuna watu hawataki kabisa hili jambo lifanikiwe.

Kundi hili likiongozwa na sukuma gang kamwe hawawezi kukubali hali hii iwepo.
 
Chawa sio ccm tuu , Ni tasisi zote tuu zinachawa hapa tz
 
Hilo kundi lipo na litaendelea kuwepo na ndiyo maana watu wanasema kuwa akili ni nywele
 
Huu urafiki wa Mbowe na serikali baada ya kufutiwa kesi inabidi tuutazame kwa umakini mkubwa. Kwa sasa nasubiri muda nione muelekeo, lakini sio siri nina mashaka makubwa.
Mkuu ifike muda watu tubadili misimamo maana kwenye vita lazima uwe na plan A na B.

Kama wapinzani tumeanza na plan A ya kutumia siasa za ki uana harakati lkn hazikuzaa matunda na matokeo yake tunazidi kurudi nyuma.

Sasa ni wakati wa kufanya siasa shirikishi bila ya kutumia misuri. Siasa shirikishi zinaweza kutuvusha hapa tulipo.

Haina haja ya kuendelea kutunishiana misuli wakati kuna option bora ya siasa.
 
Huyu wa sasa hana uwezo wa kufuata nyayo za mwenda zake maana ameonyesha kutegemea sana wenye maamuzi wa dunia.

Amesha kubali yaishe kwani wenye fedha ndiyo wanao tawala dunia kwa sasa.
 
Huu urafiki wa Mbowe na serikali baada ya kufutiwa kesi inabidi tuutazame kwa umakini mkubwa. Kwa sasa nasubiri muda nione muelekeo, lakini sio siri nina mashaka makubwa.
Tindo, this is just a change of tactics...

Katika vita yoyote kinachobadilika huwa ni mbinu za kivita na siyo malengo...

Wakati wa Magufuli there was no round table for talkings kati ya CCM - chama kinachoongoza serikali na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani). Yeye alitaka kuwamaliza wapinzani wake in a brutal way...

Kama huyu mama ame - realize kuwa hiyo njia siyo sahihi na yeye ku - prefer njia ya mazungumzo, what's wrong with that....?

Tatizo ninaloliona mimi ni kwa sababu tuliathiriwa na kiwango duni cha kuaminiana kama taifa kilichokuwepo wakati wa Mwendazake....

Lakini here is the truth...

CHADEMA na upinzani kwa ujumla hawata achieve malengo yao ya kisiasa through madai yao ya miaka yote ya NEC huru, Katiba mpya ya wananchi, mabadiliko ya sheria mbalimbali nk kama hawatakaa pamoja i.e CCM (wanaongoza serikali) vs Wapinzani katika meza ya mazungumzo....

The opportunity has showed itself, why don't we take and use it....?

Na ktk meza ya mazungumzo kuna GIVE and TAKE. Hili hatupaswi kuliogopa ili mradi tuingie ktk mazungumzo hayo tikiwa focused na wenye akili timamu....

Tuwaamini viongozi wetu. Lakini pia wao kwa sbb wanatuwakilisha, basi lazima wachukue tahadhari zote. Na Tundu Lissu amelieleza vizuri sana hili ktk ufafanuzi wake...

Alisema, "...sisi (wao viongozi) siyo wajinga...."

Mimi namwelewa M/kiti Freeman Mbowe na zaidi sana namwelewa Tundu Lissu (m/m/kiti) na ofcoz nawaamini....
 

Mkuu unadhani nina tatizo kama siasa hizo zitakuwa za win win situation, tatizo langu ni pale hizo siasa za maridhiano zitakapokuwa kaburi letu. Wakati Lowassa anakuja cdm maelezo yalikuwa ni mengi mazuri, lakini nilibaki na msimamo wangu kuwa yule mzee sio. Leo hii Lowassa yuko wapi? Nina mashaka makubwa na haya makubaliano ya sasa, na hili lazima nifuate dhamira yangu kuliko anachoongea kiongozi yoyote. Natoa muda lakini mashaka yangu ni dhahiri.
 
Kwisha Lissu, Ameuza chama ili apate kurudi kuishi tanzania, ili mbowe atoke jela miezi 8 ilitosha ku-sarender, sioni tofauti ya Chadema na TLP, Tanzania tunahitaji chama kipya cha upinzani kitakachokuwa na mtazamo wa upinzani lakini matumaini kwa wananchi
 

Sina tatizo na maelezo yako mazuri, shaka langu ni utekelezaji wa haya maelezo yako mazuri kwa suala la win win situation. Ni dhahiri nina mashaka na hiki kinachoendelea sasa, kutokana na uzoefu wangu wa makubaliano ya aina hii. Kwakuwa wameshakutana na rais na wanatuaminisha kuna nia njema, ngoja nisubiri matokeo. Lakini shaka yangu ni bayana kwani naona kuna kuingizana mjini, kwenye hili niko tayari kubaki mwenyewe.
 
Wakati wa Slaa Chadema walifanya oppression nyingi na zikafaniwa na kuwa na mwitikio wa nyomi la watu, mpaka Chadema ikawa tishio kwa watawala ccm,akina Slaa walikuwa wakito tamko linajadiwa nchi mzima.
Wakati wa Slaa mikutano ya siasa iliruhusiwa, leo umewahi kuona wapi mikutano ya siasa inafanyika ili u prove kama hilo nyomi lako lipo au halipo?
 

Hicho chama kipya kilisubiri cdm iwe kama TLP? Kwanini kisianze muda mrefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…