Tulikuwa na matumaini na chadema sana lakini wametuangushaHicho chama kipya kilisubiri cdm iwe kama TLP? Kwanini kisianze muda mrefu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa na matumaini na chadema sana lakini wametuangushaHicho chama kipya kilisubiri cdm iwe kama TLP? Kwanini kisianze muda mrefu?
Ni afadhali ya hukoKahangaikeni na cuf yenu iliyo mezwa na Zitto
Mbowe ni dikteta hataki kuachia madaraka. Miaka 25 yupo madarani na chama alikirithi kutoka kwa mkwe.Kwanini usichukue wewe nafasi ya Mbowe? Uwe kiongozi wa upinzani!!
Potea basi wachana na mambo ya cdm hayakuhusuNi afadhali ya huko
Tulikuwa na matumaini na chadema sana lakini wametuangusha
Kama huna cha kuchangia fwala tuliza kipochi manyoa chakoLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli itawatafuna milele Mbowe na Lisu.
Hata mwaka haujaisha saccos yao inakiona cha moto
Leo chadema mnaongea haya, nyinyi si mlikuwa mna mlaumu maalim seif sana, mbowe anatoka jela kwa mtu aliyemueka miezi 8 halafu anaenda kuchekacheka naye Ikulu na bado anamsifia ni mtu mzuri sana mwenye utu sijuw upumbav mtupu kwa sababu anataka awe huru,Anzisha chama chako uwe na imani nacho.
Kwa ufupi mazingira tunayo enda kuyaishi ni sawa na jirani zetu wa Kenya.
Leo chadema mnaongea haya, nyinyi si mlikuwa mna mlaumu maalim seif sana, mbowe anatoka jela kwa mtu aliyemueka miezi 8 halafu anaenda kuchekacheka naye Ikulu na bado anamsifia ni mtu mzuri sana mwenye utu sijuw upumbav mtupu kwa sababu anataka awe huru,
Tundu lissu anaulizwa kwanini mbowe kaenda ikulu kwanza kabla hata kufika nyumbani kwke anajibu upuuzi kwamba aulizwe mbowe mwenyewe, JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala..
Ukisoma vizuri comment yangu hiyo juu nimesema angalau kwa kipindi cha bimkubwa hali ya siasa itakuwa ya kistaarabu.Mkuu mazingira ya Kenya yaliletwa na Wakenya walio upande wa Raila, kwani Uhuru aliogopa shari toka kwa wafuasi wake. Kinachofanyika sasa ni makubaliano yasiyo wazi ya mama Samia na viongozi kadhaa wa cdm. Na sio makubaliano ya ccm na cdm. Ifahamike ccm bara ndio wenye nguvu, huyo mama hana ushawishi bali analindwa na cheo cha urais alichokipata kwa bahati mbaya. Hivyo anachofanya ni kuwahadaa wapinzani ili atawale bila kelele, kisha makubaliano hayo yatumike kama udhaifu wa cdm. Rejea ule utapeli wa Magufuli muda mfupi kabla ya uchaguzi mkuu, kati yake na Mbatia na Lipumba na alichokifanya kwenye uchaguzi.
Naona wazi cdm wakiingizwa mkenge kwa mtazamo wa Mbowe kutokana na alichoongea na mama Samia, lakini hapo kuna mazingira ya Mbowe kufaidika binafsi, na kidogo sana cdm kama taasisi. Bado nina kumbukumbu mbaya ya ujio wa Lowassa ndani ya cdm, na alichokuwa anaoongea Mbowe kwenye utetezi wake wa kumpokea Lowassa. Matokeo ya kumpokea Lowassa ni kuharibu haiba ya cdm,na kibaya zaidi aliishia kupandikiza siasa za kikondoo. Leo hii Lowassa hayupo karudi ccm, na cdm imebaki na siasa za uwoga. Mnao amini siasa za maridhiano ya maneno matupu sitaki kuwazuia, lakini ukweli ccm hawawezi kukubali maridhiano ya mezani bila mivutano. Muda utasema kwenye hii shaka yangu.
Ukisoma vizuri comment yangu hiyo juu nimesema angalau kwa kipindi cha bimkubwa hali ya siasa itakuwa ya kistaarabu.
Nimekuelewa sana ndugu yangu lkn kwa politics ground tuliyo nayo kwa sasa naamini nivizuri tukaanza na hapa tulipo anzia.Nimeoina vizuri, ila cdm inapaswa kuangalia kwenye matokeo ya muda mrefu. Ndio maana nimefanya rejea kwenye ujio wa Lowassa ambapo faida ilikuwa ni ya muda mfupi. Cdm ni taasisi kubwa inapaswa kuwa na vision ya [emoji817] yrs toka sasa, na sio muda mfupi ambao huyu mama atakaa madarakani kaka yangu.
Nimekuelewa sana ndugu yangu lkn kwa politics ground tuliyo nayo kwa sasa naamini nivizuri tukaanza na hapa tulipo anzia.
Kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha brother.
Siasa za kufulisiana,
Siasa za kufunguliana kesi za ugaidi,
Siasa za chuki na kuwaumiza viongozi wa cdm nadhani sasa tuziepuke .
Kumbuka hata viongozi wetu nao ni binadamu kama mimi na wewe wanahisi machungu wanayo tendewa.
Kamwe huwezi kuwa na siasa za kistarabu kama za marekani na ulaya, kwenye nchi iliyojaa CHAWA!!ambao kwenye chama wanategemea upepo wa mwenyekiti wao(CCM) anasema nini na wao ndio huko huko, wenzetu huko unafiki ni mwiko, kila mwanachama, mtendaji serikal anasimamia sheria za nchi.
Hata kama mh.Rais ana weza kuwa na nia nzuri lakini yeye pekee hawezi kuifanya nchi ikawa hivyo!!mfano sakata la makonda linaloendelea sasa hivi na GSM, ni kama hakuna kitu viti, kila mtu hadi jeshi la polisi, linaogopa kusema chochote, kwani hawajui nini msimamo wa mheshimiwa, unaweza ukachangia chochote yakakukuta!!lakini subiria , mheshimiwa alizungumzie kidogo tu, labda achomekee, tu kuwa mbona vyombo vya dola, vimeshindwa kulitolea ufafanuzi, ndipo utawaona CHAWA, sasa, kuanzia ndani ya chama, na vyombo vyote vya ulinzi na usalama utavisikia vimeibuka, na kuanza kutoa matamko !!
Mfano ni kipindi kile cha jiwe, kuhusu makontena ya makonda.
Tatizo la Afrika siasa zake bila unafiki HUTOBOIIII
Huu urafiki wa Mbowe na serikali baada ya kufutiwa kesi inabidi tuutazame kwa umakini mkubwa. Kwa sasa nasubiri muda nione muelekeo, lakini sio siri nina mashaka makubwa.
Sio wote wamezaliwa kuwa wanasiasa, wengine wamezaliwa kuwa wafuasi bwashee,sio wote wapenda mpira ni makocha au wacheza mpira, wengine tuna hobi ya hivo vituKwanini usianzishe chama chako then ukafanya siasa za aina uitakayo kuliko kulialia hapa jukwaani?
Mikutano ilirusiwa nani?unakumbuka Daudi Mwongosi alikufaje iringa!pale Arusha Mpaka mke wa Slaa anapasuliwa mikutano ilirusiwa? Mpaka watu wanapigwa mabomu pale na kuhuwa watu 5 mikutano ilikuwa imerusiwa!kama ilikuwa inarusiwa, mbona matukio Kama haya yalitokea?Naona Wewe umeanza kufuatilia siasa za vyama juzi tu baada ya mafuriko ya Lowassa,akina Lipumba wamevunjwa mikono,watu wamekufa kwasababu ya siasa, Wewe unaleta siasa,tulisema humu ndani kuwa Mbowe Sio mwanasiasa ni mjasiliasiasa, yeye anatetea tumbo lake tu.Miaka yote angelikubali kujiunga na ccm kuongoza nchi kuna wananchi kama akina mwangosi wasingelikufa.Chadema kwishine amna totauti na Zito, sasahivi Chadema inasubiri viti maharumu kuto ccm 🤣🤣🤣Wakati wa Slaa mikutano ya siasa iliruhusiwa, leo umewahi kuona wapi mikutano ya siasa inafanyika ili u prove kama hilo nyomi lako lipo au halipo?
Magufuli aliwashauli mapema kuwa achaneni na siasa za matusi na uhanarakati mkashupaza shingo,mkazani Wazungu watawasaidia,mmeacha mmeisha umia eti Ndio mnataka kufanya siasa za usitarabu ili Mama yenu atawale vizuri, Upuuzi mtupuNimekuelewa sana ndugu yangu lkn kwa politics ground tuliyo nayo kwa sasa naamini nivizuri tukaanza na hapa tulipo anzia.
Kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha brother.
Siasa za kufulisiana,
Siasa za kufunguliana kesi za ugaidi,
Siasa za chuki na kuwaumiza viongozi wa cdm nadhani sasa tuziepuke .
Kumbuka hata viongozi wetu nao ni binadamu kama mimi na wewe wanahisi machungu wanayo tendewa.
Sio wote wamezaliwa kuwa wanasiasa, wengine wamezaliwa kuwa wafuasi bwashee,sio wote wapenda mpira ni makocha au wacheza mpira, wengine tuna hobi ya hivo vitu
Mikutano ilirusiwa nani?unakumbuka Daudi Mwongosi alikufaje iringa!pale Arusha Mpaka mke wa Slaa anapasuliwa mikutano ilirusiwa? Mpaka watu wanapigwa mabomu pale na kuhuwa watu 5 mikutano ilikuwa imerusiwa!kama ilikuwa inarusiwa, mbona matukio Kama haya yalitokea?Naona Wewe umeanza kufuatilia siasa za vyama juzi tu baada ya mafuriko ya Lowassa,akina Lipumba wamevunjwa mikono,watu wamekufa kwasababu ya siasa, Wewe unaleta siasa,tulisema humu ndani kuwa Mbowe Sio mwanasiasa ni mjasiliasiasa, yeye anatetea tumbo lake tu.Miaka yote angelikubali kujiunga na ccm kuongoza nchi kuna wananchi kama akina mwangosi wasingelikufa.Chadema kwishine amna totauti na Zito, sasahivi Chadema inasubiri viti maharumu kuto ccm 🤣🤣🤣
M
Magufuli aliwashauli mapema kuwa achaneni na siasa za matusi na uhanarakati mkashupaza shingo,mkazani Wazungu watawasaidia,mmeacha mmeisha umia eti Ndio mnataka kufanya siasa za usitarabu ili Mama yenu atawale vizuri, Upuuzi mtupu