Tindo, this is just a change of tactics...
Katika vita yoyote kinachobadilika huwa ni mbinu za kivita na siyo malengo...
Wakati wa Magufuli there was no round table for talkings kati ya CCM - chama kinachoongoza serikali na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani). Yeye alitaka kuwamaliza wapinzani wake in a brutal way...
Kama huyu mama ame - realize kuwa hiyo njia siyo sahihi na yeye ku - prefer njia ya mazungumzo, what's wrong with that....?
Tatizo ninaloliona mimi ni kwa sababu tuliathiriwa na kiwango duni cha kuaminiana kama taifa kilichokuwepo wakati wa Mwendazake....
Lakini here is the truth...
CHADEMA na upinzani kwa ujumla hawata achieve malengo yao ya kisiasa through madai yao ya miaka yote ya NEC huru, Katiba mpya ya wananchi, mabadiliko ya sheria mbalimbali nk kama hawatakaa pamoja i.e CCM (wanaongoza serikali) vs Wapinzani katika meza ya mazungumzo....
The opportunity has showed itself, why don't we take and use it....?
Na ktk meza ya mazungumzo kuna GIVE and TAKE. Hili hatupaswi kuliogopa ili mradi tuingie ktk mazungumzo hayo tikiwa focused na wenye akili timamu....
Tuwaamini viongozi wetu. Lakini pia wao kwa sbb wanatuwakilisha, basi lazima wachukue tahadhari zote. Na Tundu Lissu amelieleza vizuri sana hili ktk ufafanuzi wake...
Alisema, "...sisi (wao viongozi) siyo wajinga...."
Mimi namwelewa M/kiti Freeman Mbowe na zaidi sana namwelewa Tundu Lissu (m/m/kiti) na ofcoz nawaamini....