Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 773
- 1,355
EeeyoooooooooKamandaaaaaa........
Sahizi kuna1.Kamanda
2.Barua
3.Maji ya shingo
4.Rafiki-Jeby
5.Tutakukumbuka -GK
Dah zamani kulikua na ngoma bwana yaani huwezi peleka mbele ngoma yoyote ikipigwa hit tupu.
Salome1.Kamanda
2.Barua
3.Maji ya shingo
4.Rafiki-Jeby
5.Tutakukumbuka -GK
Dah zamani kulikua na ngoma bwana yaani huwezi peleka mbele ngoma yoyote ikipigwa hit tupu.
🤣🤣mbona hata zamani alikuwepo side boy mnyamwezi pamoja na lavaboiSa
Sahizi kuna
We selemani we!!! Sele! Sele!😂😂
Mkuu huu wimbo unaitwaje? Na umeimbwa na nani? Naukumbuka kwa mbali sana,kitambo aisee,maneno yako yamefanya niukumbuke ila sikumbuki uliimbwa na nani.Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda
Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda
Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba
Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba
Na nukuu amaneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu uyu mtu
Nuru aina mwanga mbele giza rafiki niliye mpenda amenitoka
Nilikuwa na marafiki sikatai lkn rafiki wa kwel bye bye
Akufa kwa ngoma donsalale siku yake ilisha fika pema alale
Uzuni isiyo kiwisha moyoni nashika tama sioni
Ananijia ndotoni swahiba ananiambia nisikonde
Rest in peace Mama
Swahiba-Jebby ft Afande SeleMkuu huu wimbo unaitwaje? Na umeimbwa na nani? Naukumbuka kwa mbali sana,kitambo aisee,maneno yako yamefanya niukumbuke ila sikumbuki uliimbwa na nani.
Jina la wimbo SwaibaMkuu huu wimbo unaitwaje? Na umeimbwa na nani? Naukumbuka kwa mbali sana,kitambo aisee,maneno yako yamefanya niukumbuke ila sikumbuki uliimbwa na nani.
😂😂😂hawafiki kwa mboso khan🤣🤣mbona hata zamani alikuwepo side boy mnyamwezi pamoja na lavaboi
Naisikiliza mara nyingi sanatutakukumbuka crazy gk