Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

ona kijana wa bongo anavyo vaa...cheki pozi zake jinsi alivyo kaa ...amechoka kachoka kachakaaa...20% maisha ya bongo...aisee kipindi music ni music kweli...
 
😄😄sema nyimbo za watu waliopinda inaanza
Mtoto iddy
Yahaya
Lava boy
Sele
🤣🤣 sema nakubaliana na list yaKo mkuu yahaya ni mnoMa sana yaan had leo nkikutana na mtu akasema anaitwa yahaya nakua nae makini sana 🤣
 
1.Kamanda
2.Barua
3.Maji ya shingo
4.Rafiki-Jeby
5.Tutakukumbuka -GK

Dah zamani kulikua na ngoma bwana yaani huwezi peleka mbele ngoma yoyote ikipigwa hit tupu.
Nyongeza kazi yake mola madee ft domokaya
 
Mziki ulikuwa zamani

Ukisikia hata interviews za wasanii wa zamani wana stori sana,interview zao
Zinavutia kuwasikiliza
Mziki sshv matukio kik nyingi mzkki kdg

Ova
Exactly mkuu Mimi shabiki wa kina dojo aseeeee hazi boi interview zao walikupa story za kuibiwa buti la rangi ya bagia
 
Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava [emoji119]🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii

Tutakukumbuka Daima Milele - King Crazy GK
 
Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda

Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda

Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba

Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba

Na nukuu amaneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu uyu mtu

Nuru aina mwanga mbele giza rafiki niliye mpenda amenitoka

Nilikuwa na marafiki sikatai lkn rafiki wa kwel bye bye

Akufa kwa ngoma donsalale siku yake ilisha fika pema alale

Uzuni isiyo kiwisha moyoni nashika tama sioni

Ananijia ndotoni swahiba ananiambia nisikonde

Rest in peace Mama
Ayupo tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba

Ayupo tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba

Na nukuu amaneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu uyu mtu

Nuru aina mwanga mbele giza rafiki niliye mpenda amenitoka

Akufa kwa ngoma donsalale siku yake ilisha fika pema alale

Uzuni isiyo kiwisha moyoni nashika tama sioni
***********************

Biya gete! 👆👆👆🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom