Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

H ni mzozo kwa huyu ndugu
 
Kwenye dansi shujaa wangu ni TX Moshi
 
1.Kamanda
2.Barua
3.Maji ya shingo
4.Rafiki-Jeby
5.Tutakukumbuka -GK

Dah zamani kulikua na ngoma bwana yaani huwezi peleka mbele ngoma yoyote ikipigwa hit tupu.
Dooh!!!.. noma sana...hapo vyote byuma na hakuna mapenzi hapo. Sio hawa watoto wa kuimba " penyua nipachike rungu:
 
Ule ipo siku, na wenyewe unatia matumaini kwamba one day utatoboa, nausahua ni nani walio uimba please msaada
 
Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
Nyimbo ni uwingi wa neno wimbo.
Wimbo ni umoja,
Nyimbo ni uwingi,
Ni vyema kuzingatia matumizi ya uwingi na umoja kwenye muktadha wa mazungumzo ili kupata mantiki sahihi...
 
Nyimbo ni uwingi wa neno wimbo.
Wimbo ni umoja,
Nyimbo ni uwingi,
Ni vyema kuzingatia matumizi ya uwingi na umoja kwenye muktadha wa mazungumzo ili kupata mantiki sahihi...
Wingi sio uwingi mkuu
 
Niaje.....Mandojo & Domokaya
Dingi.....Mandojo & Domokaya
Niaje bonge Moja la ngwateee napenda domo anapita baada ya nature kupita kwenye chorous yake.........umepigiwa simu twende. alihamis tunafany voko tunafanye mziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…