Mimi si mdini,Mimi sipendi mabishano ya kidini.
Ila maandiko yao yanafikirisha
Hata ugonoke msikitini mara bilion 3 huyo mtoto atabaki kuwa wako๐๐๐We cheka mpaka ujambe, huyo ni mtoto haramu kwako.
Aisee,
Kutakatisha pesa kuna uhusisno gani na mambo ambyo ni biological?Unajua maana ya kutakatisha fedha ?
Hawa watu wanashangaza, mtoto kuwa wako au si wako ni suala biological. Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha au kukataa kuwa mtoto ni wako au si wakoHata ugonoke msikitini mara bilion 3 huyo mtoto atabaki kuwa wako๐๐๐
Mafundisho ya shetani haya.Inatakiwa ukapimwe akili kwasababu haupo sawa kwasababu unataka kumoa๐๐๐๐
Hata ukimwambia shetani atakuambia huyo ni mtoto wako. Hata ukitumia teknolojia kama DNA itathibitisha huyo ni mwanao.
Wewe unataka kumuoa kwasababu siyo mtoto wako๐๐๐๐
Kama haya ni mafundisho ya dini ya Allah basi atuombe radhi.Hawa watu wanashangaza, mtoto kuwa wako au si wako ni suala biological. Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha au kukataa kuwa mtoto ni wako au si wako
Hii Imani waliambiwa hakuna kutumia logic kwa sababu ukitumia logic tu utakataa mambo mengi kama haya na mwisho wa siku utaanza kudoubt kuhusu Allah.
Imagine hii Imani inaaminisha wafuasi wake kuwa wakienda peponi wanapewa mabikra ambao bikra zao zitakua zonanirudi Kila baada ya tendo. Wanaambiwa maskini wa peponi atapewa bikra watatu. Bado wanaamini
Hata usemeje , msimamo ni ule ule ..Kharamu ni kharamu.Hata ugonoke msikitini mara bilion 3 huyo mtoto atabaki kuwa wako๐๐๐
Nimekuuliza swali , unashindwa kujibu , unasema bailojia ..Sasa ukijipatia pesa kwa njia haramu , hata biashara ikawa haramu basi hukumu yake kwanza ni kutaifishwa zile pesa , japo pesa hazina makosa .Kutakatisha pesa kuna uhusisno gani na mambo ambyo ni biological?
Ukizaa mtoto owe ndani ya ndoa au nje ya ndio hiyo ni biological hakuna njia nyingine yoyote utaweza kukataa si mtoto wako kwa sababu ulijamiiana ulimwaga sperms mtoto akazaliwa
Nafahami kuwa kutumia logic kwenye Imani hairuhusiwi, lakini hata hili jamani?
Mtu anajua ameoa, anaenda kwa mwanamke ambaye siyo mkewe. Analala naye tena bila kinga. Mtoto anazaliwa siyo wako tena kwa dini unaruhusiwa kumuoa na haruhusiwi kupewa urithi wowote kwasababu ni mtoto wa zinaa. Hapo mtoto ana makosa gani?Hawa watu wanashangaza, mtoto kuwa wako au si wako ni suala biological. Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha au kukataa kuwa mtoto ni wako au si wako
Hii Imani waliambiwa hakuna kutumia logic kwa sababu ukitumia logic tu utakataa mambo mengi kama haya na mwisho wa siku utaanza kudoubt kuhusu Allah.
Imagine hii Imani inaaminisha wafuasi wake kuwa wakienda peponi wanapewa mabikra ambao bikra zao zitakua zonanirudi Kila baada ya tendo. Wanaambiwa maskini wa peponi atapewa bikra watatu. Bado wanaamini
Mtoto wa nje ana haki zote kama alivyo mtoto wa ndani ya ndoa.Mafundisho ya shetani haya.
Kweli kama kidini cha Allah na huyo sheikh ni rukhsa kwao basi wao ndo walaaniwe. Huwezi oa mtoto wako eti Allah karuhusu.Mtoto wa nje ana haki zote kama alivyo mtoto wa ndani ya ndoa.
Urithi, elimu na huduma zingine muhimu anatakiwa apewe kama watoto wa ndani ya ndoa kwasababu ni mtoto au watoto wa kwenye kiuno chako.
Uzae mtoto nje ya ndoa na useme huyo mtoto ni haramu siyo wako๐. Hata shetani mwenyewe atakukataa kwenye hili
Huo mfano ulioutoa hauendani na suala mtoto.Nimekuuliza swali , unashindwa kujibu , unasema bailojia ..Sasa ukijipatia pesa kwa njia haramu , hata biashara ikawa haramu basi hukumu yake kwanza ni kutaifishwa zile pesa , japo pesa hazina makosa .
Mtoto wa nje ya ndoa kapatikana kwa njia ya uzinifu sio halali , mtoto hana kosa ila baba hana umiliki wa mtoto yule , mtoto anachukua upande wa mama tu .
Hawa viwawa wana umeme mdogo kwa kichwa mate.Mate mbona hukuniita tuwakanye hawa waharibifu wa maadili..!!
Sioni hata wewe kama swali lako lina logic, labda kama ungetaka kujifunza sio kujichkesha kama umekali kitu..Nimekuambia , baba kampata mtoto kwa njia haramu kwa sababu njia la halali ipo ambayo ni ndoa ..Huyo mtoto ni halali kwa yule aliyemzaa.Huo mfano ulioutoa hauendani na suala mtoto.
Mtoto anachukua upande wa mama๐๐
Kwahiyo baba hana makosa. Acha kumeza mafundisho ya uongo
Kwa kuwa umekaririshwa hivyo nafikiri hapo ushamuoa huyo mtoto uliyezaa nje ya ndoa.Hata usemeje , msimamo ni ule ule ..Kharamu ni kharamu.
Siwezi kujifunza ujinga๐๐ Mtoto niliyezaa nje ya ndoa unaniambia siyo wangu ni wa mwanamke na ni wa haramu tena kwa dini yako naruhusiwa nimuoe.๐๐๐๐Sioni hata wewe kama swali lako lina logic, labda kama ungetaka kujifunza sio kujichkesha kama umekali kitu..Nimekuambia , baba kampata mtoto kwa njia haramu kwa sababu njia la halali ipo ambayo ni ndoa ..Huyo mtoto ni halali kwa yule aliyemzaa.
Kaangalie watoto wa nje ya ndoa huko mitaani uone.
Siyo kila mtoto wa nje ni wa mitaani. Ulivyokaririshwa mafundisho ya uongo umegeuka kuwa mnyama. Hauna uchungu na damu yako kabisa.Sioni hata wewe kama swali lako lina logic, labda kama ungetaka kujifunza sio kujichkesha kama umekali kitu..Nimekuambia , baba kampata mtoto kwa njia haramu kwa sababu njia la halali ipo ambayo ni ndoa ..Huyo mtoto ni halali kwa yule aliyemzaa.
Kaangalie watoto wa nje ya ndoa huko mitaani uone.