Kumbe wanaojielewa humu wapo aisee safi sana kamanda .BBC naona ni wajinga tena wa kiwango cha infinity, hivi unawezaje kusema Taifa limegawanyika? hata kama unazo za kushikiliwa huwezi ona ? Magufuli ametumia muda mwingi kuijenga Tanzania, kudeal na makampuni yaliyokuwa yanakwepa kodi, kupambana na ufisadi kwa vitendo, na kuwasaidia wananchi wa chini ambao walionewa na kuwa wakimbikizi katika nchi yao, Rais kama yule lazima ashutumiwe vikali na matajiri wenyewe pia na nchi za magharibi ambazo zimezoea kuinyonya Africa. Hilo jambo ambalo huhitaji hata kwenda chekechea kujifunza, katandaza miradi ya maji kila mahari hata ambako ilikuwa ngumu kufika.
Hata wewe rafiki, daah!Acha kujitoa ufahamu wewe. Ni wewe na wenzio wachache wenye mapenzi na Magufuli siyo wengi wetu. Mnalazimisha watu waende uwanjani ili waongeze idadi. Nani asiyewajua ninyi
Kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka mkuuKama anapendwa ilikuwaje apore uchaguzi badala ya kushinda kihalali? 😳
Walitumwa nalo utamlaumu magufuli.Kuna watu wana hasira na ndugu zao waliokufa kijinga uwanja wa Uhuru Jana.
Watu mlionyang'anywa matonge yakuiba wakapewa wananchi mnaumia bado!cha muhimu ni kwamba dictator magufuli amekufa end of story
Wale walitandika zile nguo ili!Kusema Maghu alipendwa sana kwa kuangalia wingi wa watu waliojitokeza,ni kupotosha,wengi wa wawaliojitokeza,ni vijana,hoe hae,juakali,wanaobangaiza maisha,hawana Cha kufanya,wanaenda Ili kupata hapo muda wa kujisahaulisha magumu ya maisha waliyopitia,na wanayoendelea kupitia.
Unataka kusema Maghu alipendwa kama,alibyopendwa Nyerere,Mkapa,Mandela?
Au sokoine?
Nakumbuka kifo Cha sokoine,nchi ilipigwa ganzi!
Unajua hata Idi amin,Adolf hitler,nao kuna watu waliwapenda.
Nitoe mimi kwenye mawazo yako.Jizi la kura uchaguzi wa Oct 2020 hilo..
Asante Mungu kwa kusikia kilio cha Watz.
Je waliokuwa wanazimia wakifika kwa jeneza tusemeje!Watu wengi katika umati ule walikuwa genuine wanamlilia, lakini watu wengi zaidi walikuwepo pale kiumbea umbea. Kushuhudia kama kweli mtesi wao kaondoka! Halafu kuna ile kulia kwa majonzi, na kuna kulia kwa kuwa umepata relief fulani kwamba Mungu kamuondosha kweli jitu katili ambalo hukutegemea kama Mungu angetenda muujiza huu kwa siku za karibuni.
Kwa hiyo acheni kusingizia watu. Sio wote wanaolia kwa huzuni bali kuna wengi wanalia kufurahia! Au mtupe ushahidi kwamba mnajuwa wote wanaolia wanamlilia na sio kumzomea na kufurahia! Kama hamuwezi kutoa ushahidi huo please guys...shut your f...
Siyo kumhaga ,andika kumuaga.Hivi, swala la wananchi, kujitokeza kumuhaga MAREHEM jpm nayo ni agenda?
Umeandka vyema Sana nimetoka soma post ya mange now kaandka hvyohvyoWatu waliaminishwa umaskini mzuri na kuwa mnyonge ,na kufurahia matajiri kuwa maskini ili walingane
unataka kusema tundu aliibiwa kura zake. tundu alisema tutashtakiwa miga imekuaje? tundu alimsema lowassa fisadi kisha baadae akampkea kwenye chama na kusema sio fisadi, wew upo upande ganiKama anapendwa ilikuwaje apore uchaguzi badala ya kushinda kihalali? [emoji15]
Mungu akampenda zaidi au mimi ndiye sielewi?Acha hasira, Rais wetu alikuwa anapendwa Sana!! Huo ndio ukweli ambao Dunia imelazimika kuuona live!!
Wachawi ndio huwawanalia kinafiki au naww nimmoja wapo waliao kinafiki?Watu wengi katika umati ule walikuwa genuine wanamlilia, lakini watu wengi zaidi walikuwepo pale kiumbea umbea. Kushuhudia kama kweli mtesi wao kaondoka! Halafu kuna ile kulia kwa majonzi, na kuna kulia kwa kuwa umepata relief fulani kwamba Mungu kamuondosha kweli jitu katili ambalo hukutegemea kama Mungu angetenda muujiza huu kwa siku za karibuni.
Kwa hiyo acheni kusingizia watu. Sio wote wanaolia kwa huzuni bali kuna wengi wanalia kufurahia! Au mtupe ushahidi kwamba mnajuwa wote wanaolia wanamlilia na sio kumzomea na kufurahia! Kama hamuwezi kutoa ushahidi huo please guys...shut your f...
Hamna ideology Mbovu kama hii.... total policy failureWatu waliaminishwa umaskini mzuri na kuwa mnyonge ,na kufurahia matajiri kuwa maskini ili walingane
Hii ya vifo 45 isije kuwa ni propaganda za Mataga kuonyesha kuwa anapedwa, mimi sina imani sana na hili.Upendo ni mkubwa sana.. Dar peke yake ameondoka na watu 45.. Kwahiyo kuna misiba 45 familia zinaomboleza
Ila hili la Rais wa nchi kufa na wengine wafanye sherehe linafikirisha sana, au sio?BBC naona ni wajinga tena wa kiwango cha infinity, hivi unawezaje kusema Taifa limegawanyika? hata kama unazo za kushikiliwa huwezi ona ? Magufuli ametumia muda mwingi kuijenga Tanzania, kudeal na makampuni yaliyokuwa yanakwepa kodi, kupambana na ufisadi kwa vitendo, na kuwasaidia wananchi wa chini ambao walionewa na kuwa wakimbikizi katika nchi yao, Rais kama yule lazima ashutumiwe vikali na matajiri wenyewe pia na nchi za magharibi ambazo zimezoea kuinyonya Africa. Hilo jambo ambalo huhitaji hata kwenda chekechea kujifunza, katandaza miradi ya maji kila mahari hata ambako ilikuwa ngumu kufika.
Tumia neno Mataga badala ya wananchi.Katika vitu ambavyo wanasiasa wanatakiwa kuwa makini nikutomuongelea Rais Magufuli kwa mabaya wakidhani watapata credit kwa wananchi.
Wanaweza wakajikuta wamepigwa mawe na wananchi..
Let JPM rest in peace.
Watanzania tulimpenda mno.
Na tutaendelea kumpenda daima.
Mkuu so wewe kwa maoni yako unadai kaacha katuunganisha?Salim kikeke FALA tu, ETI KAACHA TAIFA LILILO GAWANYIKA...? kivipi???
Mwache si kasha zeeka, ana fukuzwa huko eti kastaafu, ATARUDI KUISHI WAPI KAMA SIO TZ??
Akili ndogo sana weweKwahiyo unataka kusema ukihudhulia kuaga mwili basi utatoka na alama kiasi kwamba wakati wahujumu uchumi wanakamatwa wewe watakuona kuwa niyule ulihudhulia msibani kwa magu ?