Kifo cha Magufuli: Dunia imeshuhudia Watanzania walivyokuwa wanampenda Magufuli

Kwa UPUMBAVU wako yoyote anayesema kweli kuhusu utawala wa dhuluma na udhalimu. Siku ukitilia akili kichwani labda utaelewa jinsi Watanzania wengi walivyoumizwa na utawala wa kidhalimu kupata kutokea nchini.
Umekuwa na kawaida ya kuwasema watawala wakuu wa nchi.
Sasa nimekufungia ukurasa wa mwisho wa kitabu cha Magufuli, kama ilivyokuwa kwa Kikwete. Sasa nimekufungulia ukurasa mpya katika kitabu kipya cha rais Samia Suluhu Hassan. Nitaanza kujaza yale utakayokuwa unawaza. Sijajua kama itakuwa lawama au pongezi. Now loading... ... ... ...
 
Uzi utakuwa ccm.tulifika bilioni maana tanzania hata milioni 100 kufika
 
Kwa UPUMBAVU wako yoyote anayesema kweli kuhusu utawala wa dhuluma na udhalimu. Siku ukitilia akili kichwani labda utaelewa jinsi Watanzania wengi walivyoumizwa na utawala wa kidhalimu kupata kutokea nchini.
Nyinyi ndio mtakuwa mlikuwa mijizi yenyewe
iliyopigwa pini
Ww ambaye hukumpenda unafanya nini kwenye uzi usiokuhusu nenda kapigwe kiboga
 
Kwa UFINYU wa akili yako. Upumbavu umetamalaki nchi hii na wewe ni mmoja Wapumbavu hao. Watanzania chungu nzima hawajawahi kuiibia Nchi hata senti moja lakini wakipinga wizi, dhuluma, dharau na maovu ya kila aina ya jiwe ambayo ni kinyume na taratibu za nchi nyie wapuuzi hamuelewi. Wapumbavu kama wewe ni janga lingine kubwa la Taifa kama alivyokuwa jiwe.
Nyinyi ndio mtakuwa mlikuwa mijizi yenyewe
iliyopigwa pini

Ww ambaye hukumpenda unafanya nini kwenye uzi usiokuhusu nenda kapigwe kiboga
 
Aina ya watu kama ww ni wapuuzi sana....
ndio mijizi nyinyi iliyobinywa......
this time around mkiiba tena mali ya umma tunanyofoa vichwa vyenu kumbaf...
 
Zikeni mmalize aise mnatuchosha..zikeni mmalize watu waanze kuhema sasa kutema CHECHE kuonesha ngozi ya chui iliyokua imefichwa na ngozi ya kondoo
 
Zikeni mmalize, twende na mama Samia sasa aipeleke Tanzania na kuweka tabasamu kwa mioyo iliyokua na mateso miaka mitano
 
Endelea kulia ewe kweleakwelea
 
Mkuu wewe subiri apumzishwe jiwe utaona nchi itakavyobadilika... Hata nchi itapata mvua kubwa
 


Kuna watu ambao kila kitu ni kufikiria kigomvi! Kwani huwezi kumpenda Magufuli na kupenda demokrasia wakati huohuo? Je huwezi kumpenda Magufuli na kuchukia watu waliokuwa wanapotea, kupigwa risasi bila sababu? Je huwezi kumpenda Magufuli na kupenda uhuru wa vyombo vya habari? Yaani unataka kutuaminisha sisi wote tunaopenda demokrasia, kuchukia unyenyesaji wa upinzani, kupenda uhuru wa vyombo vya habari, uchaguzi huru yaani sisi ni vibaraka!! wote kama vile haya ni mambo ya wazungu tu. Hao walipigwa risasi, kunyimwa demokrasia nao ni wazungu. Watu wote wanataka uhuru, umoja na maendeleo.
 
Kama anapendwa ilikuwaje apore uchaguzi badala ya kushinda kihalali? [emoji15]
Kwa hii idadi ya watu wanaokuja mzika..... Naanza kudoubt maneno ya wapinzani kuwa wanaibiwa kura nyakati za uchaguzi
....... ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…