KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

Nakukumbusha ndugu

Ili ndoa ya kiislamu ikamilike inahitaji mambo manne tu ANAEFUNGISHA NDOA,ANAEOA,ANAEOLEWA NA WALII hapo ndoa inakua imekamilika

Hiyo unayosema hotuba hata kama haikusomwa haizuwii ndoa kukamilika
 
1-Kuna Waislamu wanasema Ukristo si dini kwa mujibu wa maandiko yao.
2-Hakuna dini isiyo na makwazo kwao wenyewe au wengine.
3-Dini zingine zimeanzishwa kiujanjaujanja kwa kutumia udhaifu mdogomdogo wa dini zingine.
4-Kuwa na msimamo kwa unachokiamini.Ila kama unajisikia vinginevyo,haulazimishwi kuendelea kuwepo.Dini ni Imani.
 
Ukristo na uislam Ni kama Tom na jer au chinua na Achebe , au yanga na Simba tu haimaanishi kitu kila mshabiki huona timu yake Ni Bora kuliko ya mwingne Ila ukwel zote Ni game of mind tu[emoji1787]
 
Mkuu subiria waje wahusika utaambia umeshalishwa limbwa tanga huko na maneno mabovu..ila ata me ningependa tupate ufafanuzi maana ata hapa nashindwa kuoa japo nipo ni shemeji yenu mwaka 17 nilipreka posa wakata mil 4 mwaka 2008 nikamwambia mama tuendelee kufyatua watoto tu
 
Kama huna hela ukristo hauuwezi..nenda kwa maskini wenzako mkafarijiane..kupitia tamaa za ngono kwa kuoa wake na kuachana kila muda kama panya.

#MaendeleoHayanaChama
 
ukweli mchungu ila tegemea povu, majibu ya kisirani toka kwa wana israel wa Mivumoni

nna rafiki kadhaa wa kigalatia, likija suala la harusi, natumiwa Proforma Invoice ya 70k na mimeseji kila kukicha
qmmmmmq
ilihali harusi za kikobazi nachangia 5k tu
Umasikini tu unawasumbueni katafuteni pesa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hamia kwa wavaa kobazi..kuna mtu kakushikia mtutu kuwa mkristo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi hadi nitakapoona thread za ndoa zinaletwa na wanawake ndio nitaona uislam upo kwenye ndoa.. Why kila siku wanaume tu?
Kwenye uislam mwanamke Hana chochote. Ni kiumbe tu Cha kumridhisha mwanaume kingono kuanzia duniani mpaka peponi.

In short, starehe, pepo na ahadi za kuishi Uislam Ni ngono.
 
Shida ni ubishi tu..hakuna mahali kumendikwa ndoa ziwe na gharama..mimi kuna mzee mkristo alikua anaozesha binti zake bila hata mahali..na gharama za harusi alikua anazibeba yeye..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kingine ni usafi wakati wa ibada. Ndugu zetu waislamu wako na utaratibu mzuri sana wa kujisafisha kabla ya ibada.

Huku kwetu, kiatu ulichotoka nacho gesti na ukaingia nacho kwenye vyoo vya baa, ndicho unaingia nacho kanisani. Musa na utakatifu wake wote, Mungu alimwambia avue viatu. Sisi tunapuyanga tu!
 

Posa ni utaratibu wa mila za kiafrika uliokuwepo kabla ata ya ujio wa hizi dini ila kwa utaratibu wa kibiblia ni huu👇👇 kwa condition kama yako

Kumbukumbu la Torati 22:28-29
²⁸ Mtu mume akimwona kijana aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye, wakaonekana;
²⁹ yule mtu mume aliyelala naye na ampe baba yake yule kijana shekeli hamsini za fedha, kisha na awe mkewe, kwa kuwa amemtweza; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.


Sasa convert hiyo shekeli hamsin ni sh ngap sahv
 
Mkuu, kimsingi hayo unayoeleza hayatoki kwenye Ukristo bali tamaduni, mapokeo, na matakwa binafsi.
Kuna tofauti ya ndoa na harusi. Wanandoa na ndugu ndio wanaamua sherehe (harusi) yao iweje sio dini. Siku hizi hata baadhi ya Waislamu wanafanya harusi ukumbini na kuongeza gharama za maisha.

Baadhi ya madhehebu baada ya kuona 'mzigo' wa harusi kuwa kikwazo kwa waumini kufunga ndoa, yameamua kuwa na ndoa za jumla.

Kuhusu maziko kuchelewa na kushreheshwa yote sio matakwa ya dini bali tamaduni na matakwa ya waliofikwa na msiba, Ukristo haukatazi kuzika papo hapo baada ya mtu kufariki au kuzika baada ya siku kadhaa. Mfano, Yesu alizikwa haraka kwa kuwa siku aliyofariki ilikuwa siku ya maandalio ya Sabato, Sabato haikuruhusiwa kufanya kazi yoyote, hata kuzika! Maana yake ni kuwa kama angefariki saa 12 jioni maana yake Yesu angezikwa Jumapili. Kwa hiyo hayo unayozungumzia ni masuala ya kibinafis.

Mimi nilikutana na mshangao nilipoenda kuishi Arusha, kwao kipaimara ni suala kubwa mno, nilishangaa kuona msafara barabarani, matarumbeta na magari lukuki, binti yuko kwenye gari la wazi anapunga mikono wakati magari yako kwenye msafara. Ni bahati mbaya sana sherehe hizo zinatumiwa kama mahali pa familia kuonyesha ufahari na utajiri. Mimi kipaimara changu tulitoka kanisani tukala chakula kizuri (pilau) na shughuli ikawa imeisha.

Bahati mbaya hata ubatizo nyakati hizi umegeuzwa kuwa sherehe! Nikiwa huko huko Arusha, nililetewa kadi ya mchango kwa ajili ya sherehe ya ubatizo. Nilimwambia wazi rafiki yangu kuwa huwa sichangii ubatizo wala kipaimara bali harusi pekee.

Vv
 
Acheni tupige sherehe ya nguvu ndoa zetu zinafungwa mara moja tu..nyie ndoa zenu mtu mmoja unaweza kufunga ndoa zaidi ya mara 10.
Swala la kifo nahisi kwa asilimia kubwa nyie waislam mnazikana mkiwa hai unaweza kuta mtu amepata coma jioni tu ameshapigwa chepe nimeshuhudia kesi nyingi watu wakizinduka wakiwa mortuary
 
Ukristo na uislam Ni kama Tom na jer au chinua na Achebe , au yanga na Simba tu haimaanishi kitu kila mshabiki huona timu yake Ni Bora kuliko ya mwingne Ila ukwel zote Ni game of mind tu[emoji1787]
Daaah
 
Mkuu hata Mimi nimesema biblia haicommand hcho kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…