KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

Kama awaamini kuhusu Mungu kwa nn kwa lugha zao neno Mungu lipo.
Mungu na Shetani ni roho na kama huna elimu kuhusu universe ulimwengu wa roho huwezi amini uwepo wa Mungu.
Elimu duniani ina sehemu mbili.
I.elimu kuhusu ulimwengu unaonekana na pili ni elimu kuhusu ulimwengu usioonekana.
Sasa kama huna elimu kuhusu Roho na ulimwengu usioonekana kwako ni SAwa kutoamini sababu upo gizani.
 
Nini maana ya kanisa.
Je huo ushoga ni mapatano yaliyo kwenye mafundisho ya Biblia?.
Au ni ukengeufu binafsi usiopata na Biblia.
Ni SAwa na mashehe wanaotumia Quran kufanya uchawi,uganga na ushirikina kwa jina la Mwenyezi Mungu huku wakipotosha watu eti kuna jini mzuri,majini wanaingia msikiti kuswali huu ni uongo na ni shirki kubwa Sana.
 
Wewe huna ambacho unakijua kuhusu mambo ya roho na imani ambacho mimi sikijui, huna cha kunifundisha kwa ufupi.
 
Kwa mujibu wa ufahamu wa kawaida.
1. Kuondokana na kushughulishwa na msiba kwa masiku mengi

2. Kiwiliwili hupumzika kwa amani na huondokana na mateso

3. Huepusha kutoharibika kwa kiwiliwili

4. Huokoa gharama

5. Hutunza muda

6. Huepusha fitna na hali zisizotarajiwa

7. Huhuisha shughuli nyingine za msingi zilizokuwa zimesimama

8. Kutoweka haraka kwa kumbukumbu za kufiwa na majonzi/maumivu

9. Husaidia kujikinga na magonjwa yaambukizayo kutoka kwa maiti
 
Umenena vema kabisa Mkuu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Waislamu wanazika watu wengi hai, mtu akifa angalau zipite siku tatu ndipo ithibitike kweli amekufa. Wengine uzimia zaidi ya masaa 24
Kwahyo huwa mnachelewa kuzika ili muipime maiti?.UNAFIKI
 
Mtoa mada nadhani unataka kutengeneza justification ya kuhamia huko kwingine unakokusifia.

Au inawezekana hujakaa vizuri katika ukristo.
Mimi ni Mkristo na ninafurahia kuwa hivyo. Nilibatizwa na kupata maulfunzo ya kipaimara. Nimebatiza watoto pia sijawahi lipishwa.
Nije kwenye mada yako sasa. Kifo na Ndoa ni ibada zilizochanganuliwa vyema sana kwa taratibu zake kwenye vitabu vyetu hasa sisi wa KKKT. NI ibada FUPI ajabu. Kuna ibada hadi ya send-off.

Kinachofuata baada ya hapo wala si maelekezo ya kanisa wala ukristo, ni matakwa na matamanio tu ya binadamu wenyewe.
Kamwe usihusishe kanisa au ukristo na matamanio ya kidunia ya watu wanaofakamia umagharibi.

Soma kwanza miongozo ya makanisa husika uone kama yametaja au yameelekeza kufanyika hayo unayosema humu.
Mambo ya merehemu kuwekwa siku nyiiingi kabla ya kuzikwa wala hakuna mahali yameandikwa katika ukristo ni watu tu wanayaendekeza hayo mambo.
 
Waislamu wanazika watu wengi hai, mtu akifa angalau zipite siku tatu ndipo ithibitike kweli amekufa. Wengine uzimia zaidi ya masaa 24
Hili si suala la waislamu tu mbona, JEWS nao huharakisha kuzika

Suala la kuhakiki kifo cha mtu huwa halifanyiki kiholela, hutafutwa wataalamu wakafanya vipimo wakishajiridhisha ndo hutoa ripoti

Wataalamu wanajua kutofautisha kati ya aliyezimia na aliyekufa, wanatambua uwepo wa watu wanaozimia kwa zaidi ya masaa 24
 
Mtu akifa angalau zipite siku tatu ndipo ithibitike kweli amekufa. Wengine uzimia zaidi ya masaa 24

Sawa, kwa muda huo anakuwa amehifadhiwa kwenye mazingira gani na kwa njia gani?
 
Itabidi wazikwe na simu sasa Ili wakifufuka kaburini wapige simu
 
Ulawiti,ushoga ni tabia ya mtu,hakuna maandiko yoyote kwenye vitabu vitakatifu vinafundishwa hayo mambo
Vinginevyo tukubaliane kuwa hakuna waislamu wanaotenda hayo mambo?
Kama wapo basi hao ni waislamu wa aina gani?
Hayo ni matendo binafsi ya mtu,hakuna dini iliyoridhia bayana kufanyika kwa hvyo vitendo ingawaje baadhi ya waumini wa hizi dini hutenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…