Kifo ni nini hasa? Is death really a right or a mystery we don’t understand?

Umewahi kujiuliza jua kuzama ni haki yake au ni mfumo wa asili ambao jua halina mamlaka nao?

Kisheria kujiua ni kufanya shambulizi dhidi ya binadamu ambaye ni wewe, serikali ina wajibu wa kulinda uhai wako hata kama adui wa uhai huo ni wewe mwenyewe.

Hii ndiyo sababu kwa nini utakamatwa endapo utajaribu kufanya jaribio hilo.
 
Sanaa ya kifo | Page 23 | JamiiForums Sanaa ya kifo
 
Hii umesema kwa msisitizo asante sana 🙏🙏
 
According to the Law of conversation of energy and matter.

Mtu haufi tottally,
Unakufa Ufahamu, Kumbukumbu na Utambulisho wako (Consciousness, memories and Identity).
Ila matter and energy yako inabadilika kwenda kwenye form nyingine.

Kiumbe kinapokufa, vitu vya mwili wake havipotei mfano Hydrogen, Oxygen, Calcum, nk.
Ila vinasambaa katika mazingira uliyozikwa.
Bakteria wanavunja vunja tishu za mwili, kisha elementi za mwili wako zote zinarudi tena kwenye udongo, hewa, na maji.

Mimea itazichukua hizo elementi kutoka kwenye udongo, Wanyama watakula tena mimea hiyo, Hivyo, atomu zile zile zinaingia tena katika viumbe vingine vilivyo hai.

Hicho ndicho hutokea baada ya kifo, Zaidi ya hapo ni myth tu ambazo hazina uthibitisho wa kisayansi kwa maana hakuna aliyewahi kufa kisha akarudi kusimulia.
 
Mada nzuri sana kuhusu kufa na kifo.

We're born to die hivyo destiny ya kila kilichozaliwa ni kufa.

Once we're born, sisi sio mali yetu, we have no control of when and how death will approach us, so hakuna haki ya kujiua maana wewe sio mali yako, you belong to the nation. Iangalie kwa angle ya mtoto wako, unazagamua, unazaa, baada tu ya kuzaa sio mali yako tena, you can't kill or harm the newborn, ukijaribu tu unafungwa.

Lastly, life after death, adhabu za kaburi, kufufuliwa na porojo zote hizo ni ahueni tu tunapeana ila once the breathe leaveth your body, its done and dusted. You pave a way for other creatures to take over.
 
Umemwaga madini mkuu🔥🔥
 
Babu umeandika kwa ukubwa sana chukua 🌹🌹
 
Achana na kwamba "KIFO NI KIFO TU"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…