ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #81
Sasa mimi na wewe tunaenda je na hatuna ugonjwa sugu 😁😁mi niko fit vp wewe tayali tia maji tia maji🏃♂️Sawa mjukuu, ila zipo nchi ambazo unaweza kumalizana mwenyewe in case umeumwa ugonjwa ambao haufi wala hauponi. Serikali inakupa kibali ili ufe uondokane na tabu za hii dunia.
Unataka twende?
Nguvu iliyotumika..........Achana na kwamba "KIFO NI KIFO TU"
Acha basi mjukuu😅😅
Kumbe bado uko fit, nikajua mada inataka kukupa muongozo mjukuu 😅😅😅😅Sasa mimi na wewe tunaenda je na hatuna ugonjwa sugu 😁😁mi niko fit vp wewe tayali tia maji tia maji🏃♂️
Sina labda unifundishe Ila babu🤔😁Acha basi mjukuu😅😅
Mambo yq Kagera najua hata wewe unayo, acha kabisa ile kitu, yummy sana😅😅
Maisha ya vijijini hayo wanasema mpaka mng’oe paa la nyumba ndio anakufaHii mbona ina ukakasi 😀
Itabidi nitoe darsa, haiwezekani mto unakuwa dry bwana...😅😅😅😅Sina labda unifundishe Ila babu🤔😁
HakunaaaaaKumbe bado uko fit, nikajua mada inataka kukupa muongozo mjukuu 😅😅😅😅
Uje nikupe muongozo katika hili😅😅😅😅Hakunaaaaa
Bado nataka 💦💦💦
Ingekua kweli watu wangefanya hivyoMaisha ya vijijini hayo wanasema mpaka mng’oe paa la nyumba ndio anakufa
Fanya hivyo usije kufa bila kuacha kumbukumbu 😀Itabidi nitoe darsa, haiwezekani mto unakuwa dry bwana...😅😅😅😅
Saafi 😎🔥Uje nikupe muongozo katika hili😅😅😅😅
Tusiharibu mada yako nzuri, endelea kupata nondo. Ila mada ya kufa usiku huu huku Afrika mashariki hata sio poa😅😅Saafi 😎🔥
Nyumba inaweza bomoka isijengwe the same na daraja hiyo ndiyo TanzaniaKifo ni upgrade, ili kitu kipya kizaliwe lazima cha zamani kife, mfano mti huota baada ya mbegu kufa na nyumba ikibomoka ujue itajengwa mpya kali zaidi na daraja likikatika linajengwa jingine imara zaidi hivyo kifo ni faida
UnaogopaTusiharibu mada yako nzuri, endelea kupata nondo. Ila mada ya kufa usiku huu huku Afrika mashariki hata sio poa😅😅
Twende mjukuu, nikale minofu mie😅😅Unaogopa
Twende tayali Ibiza basi😎
Kwa waliyoyaona hayo mateso yake walijiapiza hawatafanya kama walivyofanya wazazi na ni mateso kwa watoto kuwa hudumia ambapo mpaka majirani na wanaingilia kati kuwashauri nini cha kufanya ili wafeIngekua kweli watu wangefanya hivyo
Watu wanaogopa kufa wee
Hii mada imetokana na yule mrembo ajabu kutoka marekani alieamua kusitisha uhai wake kwa hiari yake kwa kujitia kitanzi 😢 usmesikia hiyo story kutoka visiwani?Tusiharibu mada yako nzuri, endelea kupata nondo. Ila mada ya kufa usiku huu huku Afrika mashariki hata sio poa😅😅
Heh kumbe ni reallyKwa waliyoyaona hayo mateso yake walijiapiza hawatafanya kama walivyofanya wazazi na ni mateso kwa watoto kuwa hudumia ambapo mpaka majirani na wanaingilia kati kuwashauri nini cha kufanya ili wafe
Nilisikia japo sikuifuatilia sana.Hii mada imetokana na yule mrembo ajabu kutoka marekani alieamua kusitisha uhai wake kwa hiari yake kwa kujitia kitanzi 😢 usmesikia hiyo story kutoka visiwani?