Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Si ndio chama tawala na maana ya upinzani au una maana tofauti ingine mkuu?1. Miradi iliyoachwa na Magufuli imesimama?
2. CHADEMA hakuna cha kueleza watanzania tofauti na kuwadiss CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio chama tawala na maana ya upinzani au una maana tofauti ingine mkuu?1. Miradi iliyoachwa na Magufuli imesimama?
2. CHADEMA hakuna cha kueleza watanzania tofauti na kuwadiss CCM?
Mkuu, unahangaika kuuliza swali hili kwa kichwa cha mccm?hiyo mikopo ya t39+ bado na mapato ya ndani ndio imetumika kukamilishia miradi tu, kwa mikopo hiyo na mapato ya kodi tulitegemea alichokifanya jpm huyu mzanzibar akifanye mala nne zaidi.
kwa miradi aliyofanya mzanzibar bado hajafikia hata kwa awamu ya Kikwete sema huyu ni rais anaetembea na trend kiufupi huyu mzanzibar anaturudisha nyuma
Nchi hii taaluma kuhusu mikakati na mipango ya maendeleo ya taifa zilishakufa kitambo.Hivi kuanzisha miradi kwa kutumia hela ya walipa kodi ni kazi ngumu kiasi gani?
Jikite kwenye mada husika, usirukikie vitu. mada iliyopo mezani inayojadiliwa ni kauli ya kigaila kusema hakuna mradi wowote ulianzishwa na Rais Samia na Comment yangu ilijikita kwenye mada husika kama ulitaka kuzungumzia habari za ofisi ya msajili ungeanzishia uzi wako na ningekuja kuujadili kivingine. Tujikite kwenye mada vinginevyo tutaonekana vituko.Kaka wewe nikikuita MJINGA unaonaje??
Kama vyama vya siasa ni wasanii na wachekeshaji, vipi ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa tuiteje?? CHOO YA STENDI "???
Na msajiri naye tumwiteje?? KINGWENDU au BAMBO??
Punguza UCHAWA na ujinga ulopitiliza mkuu, TEUZI hazitafutwi namna hiyo.
Hivi wewe una tofauti Gani na mtu ambaye hakwenda shule kabisa??
You have generated very stupid argument.😃🤔🤔🤔
Kutoka kwa mtu wa CPA???🤣🤣🤣
Ukarabati wa barabara za DSM ni DMDP2 baada ya DMDP1 kukamilika.H
Huyu nyumba aisee ni shida ,hivi Dar yote iko kwa ukarabati wa barabara ndio yeye alianzisha ? Hivi alitaka aache kukamilisha miradi aliyoanzisha mtangulizi wake ?Nyumbu hamjui jinsi nchi inavyoendeshwa .
Ama una elimu finyu ya "kiCCM" au huna uelewa wa maana ya miradi ya kitaifa na kimkakati.Jikite kwenye mada husika, usirukikie vitu. mada iliyopo mezani inayojadiliwa ni kauli ya kigaila kusema hakuna mradi wowote ulianzishwa na Rais Samia na Comment yangu ilijikita kwenye mada husika kama ulitaka kuzungumzia habari za ofisi ya msajili ungeanzishia uzi wako na ningekuja kuujadili kivingine. Tujikite kwenye mada vinginevyo tutaonekana vituko.
tuweke ushabiki pembeni tujadili uhalisia ulivyo na nitakuuliza swali: Je ni kweli hakuna mradi hata mmoja ulianzishwa na Rais Samia?
Mradi wa BBT
Mradi wa DMDP II
Mradi wa Royal Tour
Mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Mradi wa DP World
ni mifano ya miradi iliyoanzishwa na Samia
Au unadhani miradi ni lazima iwe 'tangible'?
Unaposema ni mzee aachane na siasa. Jitazame kwanza wewe na wenzako ndani ya chama chenu. Then ndo urudi hapa kuandika.HUYU KIGAILA KESHAZEEKA AACHANE NA SIASA
Na huo mradi wa CCM wa kuzalisha wajinga wengi ili waendelee kutawala na kujinufaisha unaanikiwa sana kwa kutumia hii elimu yetu inayotolewa na serikali.Mkuu, unahangaika kuuliza swali hili kwa kichwa cha mccm?
Ccm inamradi wa kuzalisha wajinga, enewei..! Ngoja tuone iwapo atajibu
kama umekamilika, ulioanza si mpya?Ukarabati wa barabara za DSM ni DMDP2 baada ya DMDP1 kukamilika.
Sio wa kwake japokuwa ni mpya. Unaelewa hilo!!??kama umekamilika, ulioanza si mpya?
Nakusikitikia maana unakokotwa kama mkokoteni, kesho kigaila akikana kauli yake basi aibu itakushukia wewe ila shukuru una ID fake maana familia yako ingekudharau pia. Natamani kuona upinzani imara na wenye hoja nzito lakini si huu wa kigaila na wenzake. Miradi inatekelezwa na inakamilika, wananchi wanapongeza na mpaka hizo pongezi zinawakera, lakini anatokea mtu mmoja anasema hakuna mradi na kundi la watu linashangilia ni kweli bila kujua anayesema hivyo anawaona wajinga kiasi ganiAma una elimu finyu ya "kiCCM" au huna uelewa wa maana ya miradi ya kitaifa na kimkakati.
Unaelewa maana ya "miradi ya kimkakati"!!??Nakusikitikia maana unakokotwa kama mkokoteni, kesho kigaila akikana kauli yake basi aibu itakushukia wewe ila shukuru una ID fake maana familia yako ingekudharau pia. Natamani kuona upinzani imara na wenye hoja nzito lakini si huu wa kigaila na wenzake. Miradi inatekelezwa na inakamilika, wananchi wanapongeza na mpaka hizo pongezi zinawakera, lakini anatokea mtu mmoja anasema hakuna mradi na kundi la watu linashangilia ni kweli bila kujua anayesema hivyo anawaona wajinga kiasi gani
Je, kulikuwa na ulazima wa kisheria wa DMDP II kuwepo baada ya awali kumalizika? kama hakukuwa na ulazima wa kisheria basi ni mpya na ni wa kwake, nafikiri unanielewa piaSio wa kwake japokuwa ni mpya. Unaelewa hilo!!??
W uko nchi gani unashindwa kuona: Hospitali, Vituo vya afya, madarasa(Shule mpya).
Ukiwa mpinzani so lazima kupinga kila kitu ...
Makubaliano ya awali na World Bank yalikuwa ni kuwa na awamu 3 za DMDP ambazo zitatekelezwa baada ya kila awamu kumalizika na kupata perfomance index.Je, kulikuwa na ulazima wa kisheria wa DMDP II kuwepo baada ya awali kumalizika? kama hakukuwa na ulazima wa kisheria basi ni mpya na ni wa kwake, nafikiri unanielewa pia
Hao ndio CCM na akili zao hizo.Shule na hospital ni miradi?
'Ni miradi mikubwa yenye vipaumbele inayotekelezwa na Serikali ambayo inalenga kuongeza ushiriki wa Watanzania (Local Content) katika sekta mbalimbali za kiuchumi. Miradi hii iwe ni ile yenye uwezo wa kutengeneza ajira kwa nguvu kazi ya ndani, na utoaji wa huduma za ndani'. usishupaze shingo mwenzako kigaila alisema hayo akiwa amelewa chakari ndio maana mnaofanya kazi ya kutetea kauli yako mtaabikaUnaelewa maana ya "miradi ya kimkakati"!!??
Nimemkumbuka Rutabanzibwa, Rugunyamheto, Likwelile,Rutabanzibwa na Rugemalira.