Kigogo, ni nani huyu aliyeuandama utawala wa awamu ya tano na sasa yuko kimya...

Uchambuzi umetushinda tumeanza kufuatiliana na hatujuani, ndicho kilichobaki kwa sasa!
Hapana Kuna JF mbili,JF umbea(MMU) na JF Siasa (for intellectuals)

Kufatiliana wanafatiliana watu ambao wana interest hizo, ushawahi kumuona mwashamba kwenye chitchat??

If drama seem to always attract you,kumbuka birds of a same feather flock together!

I enjoy the peace.
 
Sijawahi kumuona, basi tuache kila mtu aenjoy forum yake!
 
Ni muhimu zaidi kumuamini Mungu pekee gentleman na itapendeza zaidi, kuamini watu ni ushirikina 🐒
 
Magufuli alikuwa Engeneer hakua mwanasiasa...

Nafikiri hiki kilimcost...

Kuna mambo aliyajua ila hakuyachukulia maanani...

Kwasababu aliamini siasa ni kama sayansi ya kweli, kwamba kila swali hujibiwa kwa formula inayojulikana...

Yeye aliamini adui ni yule aliye upande tofauti na wewe...

Badala ya kupambana na adui halisi akapewa bosheni (wapinzani)
 
Wapi nimesema naamini mtu/ watu gentleman?
hapana,
sijaona mahali popote ulipodai kumuamini Mungu, ila umedai kushawishika kuamini watu kutumika kumuangusha Rais wa awamu ya5, na umeeleza hayo kwenye aya ya hitimisho la hoja yako mahususi mezani.

In fact,
binafsi nimekumbusha tu kumuamini Mungu pekee zaidi watu na sio kwa ubaya wowote gentleman 🐒
 
Hakuna mtu awe Mwanasiasa au Mwanaharakati, useme hana maslahi hapana. Kuna Waziri mmoja huwa anasema, sisi tunajuana, ni ukweli kabisa wanajuana sana. Akitokea mtu akaanza kujifanya msafi, wanaanza kumshangaa, huyu kaanza kuwa msafi lini.
Kwanza nakubaliana na wewe...

Ila wapo wako motivated kutetea haki za wenzao tu...

Mfano Lissu, anapata maslahi gani kwenye aina ya siasa zake?
 
Ni kweli nimesema kuna uwezekano watu walitumika kumhujumu...

Maana alifanya kazi na watu kaka si ndio!!

Na hao ndio nime wa refer...

Hakuna ubaya, tunajadili gentleman.
 
Kigogo kashalamba asali
 
Kwani Kigogo bado yupo? JF hayupo! Insta hayupo! Kule X hayupo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…